Ujumbe Huu wa Diamond Kwa Mwanae Hatari Tupu...Kua Uje Kuwatembezea Jukumu Lako ni Kupita Nao Tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku ya jana mtoto wa pili wa msanii Diamond, Nillan alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa baada ya kutimiza umri wa mwaka mmoja.
Katika kumtakia kheri ya siku hiyo muhimu kabisa maishani mwake, Diamond ameandika ujumbe wa ambao watu wengi wameshangazwa nao. Kupitia ukurasa wake wake Instagram Diamond ameandika;

Nasemaje! Kua Uje kuwatembezea Baba… We swala la Kutafta ela niachie mie… Jukumu lako ni moja tu, Kupita nao🔥…..Happy 1st Year Lanny!!! 🎂

Pia hapo awali mzazi mwenziye na Diamond, Zari The Boss Lady aliandika ujumbe mzuri kwa Nillani, Zari aliandika;

Ladies and gentlemen help me wish my hanshaaaaaam skwiiiiisshhhh a happy birthday. You surely growing up fast, i see you breaking girls’ 💔s soon b’coz this cuteness is overloaded …. Happy bday my toto @princenillan
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ULIMI UNAUMBA, KILE UKISEMACHO NDICHO HUWA KINATOKEA. NGOJA MAMBO YETU WAZIZI YAWE NA BUSARA. MAMBO HAYA SIO MAZURI.KWANI ATASHINDWA NINI KAMA WEWE NJIA ZENU NDO HIZO.

    ReplyDelete
  2. 'WIMBO MBAYA HABEMBELEZEWI MTOTO........' shaurilo!!

    ReplyDelete
  3. Diamond kweli kichwani sifuri

    ReplyDelete

Top Post Ad