google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Wolper Awatolea Povu Wanaomuandama Kuhusu Jino Lake la Silver | UDAKU SPECIAL

Wolper Awatolea Povu Wanaomuandama Kuhusu Jino Lake la Silver

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wolper Awatolea Povu Wanaomuandama Kuhusu Jino Lake la Silver
MWANADADA mwenye mvuto kwenye tasnia ya Filamu za Bongo, Jacquiline Wolper amewafungukia wanaochukua picha zake na kuzi-edit huku wakimchafua kuhusu jino lake analodai kuwa limetengenezwa kwa madini ya Silver.

Staa huyo ambaye ni maarufu pia kwa kutupia pamba za maana amedai kuwa alitumia gharama zake kupanda ndege kwenda Sauzi kuweka jino la silver huku akiwaita ‘Kunguni’ wanaomfanyia mchezo huo mchafu.

Ngoja niwaeleze kitu kimoja ambacho amkijui kuhusiana na hili pengo…hli pengo nimelipandia ndege kwenda south kulitoa nakuweka ma slver kwa meno yangu kwa mahaba yangu mwenyewe ya kuwa na mwanya wa pembeni 😂😂sasa we kunguni unayetokea pasipojulikana unakuja kuchukua pcha naku edt unavyojua wewe ukizani nitakasirika au nitaumia am soleeee 🙄…unapoteza muda wako me najipenda nilivyo naikitokea nimechoka nitanyanyua makalio yangu hapa nitajilipia nauli nakwenda kuweka jino niwe na jino so plz usitokwe na damu juu ya hlo pengo langu ndilo nalodangia kwa tarfa yako kma ulikua ujui😂😂😂🔫#Pengodanga💃🥂🍾

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad