EXCLUSIVE: Dalali Mwingine Amuumbua Diamond, Asema Diamond Kapangisha Hajanunua Mjengo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Dalali wa kwanza kusema Diamond Platnumz amenunua mjengo mpya aliopost tena kwa Tsh. Bilioni Moja, Dalali mwingine ameibuka na kuzungumza ukweli na kusema Diamond hajanunua bali amepangisha kwani yeye ndo mtu wa kwanza kuutangaza mjengo ule kwa ajili ya kupangisha.

Dalali huyo ambaye jina lake maarufu anaitwa Dalali Kiongozi amesema kuwa nyumba hiyo ilikuwa inapangishwa na hata Dalali Skoba wakati anamleta Diamond tayari alikuwa kashaulizwa yeye kwani yeye ndiye alikuwa anaujua huo mjengo na kuongezea kuwa mjengo huo awali ulikuwa unapangishwa kwa millioni 3 kwa mwaka..

Bonyeza PLAY kumsikia akielezea kila kitu..


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Good morning,

    Miye nashangaa kama Diamond kanunu au kapangisha what is the big deal, baada ya kujitahid nanyiye mkawa kama yeye mnakaa kwenye mtandao kutafuta issue kuhusu Diamond.

    ReplyDelete
  2. Kwani hizi za Saidi si shika atanunua. au ameshasepea malekani

    ReplyDelete

Top Post Ad