Huddah Ajuta ‘Natamani Ningekuwa Mweusi na Mwenye Makalio Makubwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mfanyabiashara na mwanamitandao Huddah Monroe, ameanza kuitamani ngozi nyeusi katika mwili wake. 
Mrembo huyo aliyeamua kujikita katika biashara za urembo wa vipodozi ametoa kauli hiyo kupitia mtandao wa kijamii wa Snapchat kwa kuandika “You all know my obsession with dark skin. If I died today and come back. I could come back super super dark skinned, talk and skinny.With a little bit of ass.”

Mrembo huyo ambaye aliwahi kuwa ex wa rapper Prezzo amekuwa akidaiwa kujichubua ngozi yake baada ya kuanza kupata pesa nyingi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa nani alikushauri kutumia mikorogo?

    ReplyDelete
  2. Kigezo cha kuwa mtu mweupe kwa wa waafrica wakati mwengine ni aibu na upumbavu mtupu kwa wanaojinasibu kuwa wao ni watu waeupe wakati ni waafrica halisi . Mtu anaona dili kuitwa au kujitambulisha kuwa yeye ni mtu mweupe. Kiuhalisia Muarabu sio mtu mweupe hata kama atajinasibu kuwa yeye ni mtu mweupe we muache tu pengine atajinasibu mbele ya watanzania tu au baadhi ya waafrica lakini akikutana na mtu mweupe wa kweli ananyamaza kimya. Muhindi sio mtu mweupe bali anaweza akajinasibu kuwa yeye ni mtu mweupe kutokana na mazingira ya kiafrica. Lakini kiuhalisia muhindi sio mtu mweupe na akikutana na mtu mweupe wa kweli ananyamaza kimya. Mchina sio mtu mweupe na hawezi akajinasibu kuwa yeye ni mtu mweupe. Sasa inashangaza sana kuona baadhi ya watu hasa Tanzania au east Africa wakijinasbu kuwa ni watu waeupe wakati ni waafrica halisi kabida, Africans not Caucasians. Hata ukiwa mixed race na ukatokezea kufuata upande wa waeupe zaidi bado huwezi kujinasibu kuwa wewe ni mtu mweupe, mtanzania au mkenya anaweza kujinasibu kuwa yeye ni mtu mweupe lakini zaidi akawa mweupe wa akili yaani mgonjwa wa akili kwa kutojitambua kuwa yeye ni nani . Raisi mstaafu wa Marekani licha ya kuzaliwa na mama mzungu na wakati fulani kulelewa na bibi na babu zake amabao ni wazungu lakini alikuja kujitambua kuwa yeye ni mtu mweusi. Wanafunzi wenzake shuleni walikuwa wanamwambia wazi kuwa wewe Obama sio mtu mweupe ni mtu mweusi na aliwaelewa vizuri na Obama alijinasibu bila ya kumumunya kuwa kweli yeye ni mtu mweusi. Sasa unapowaona au kuwasikia baadhi ya watanzania wakijinasbu kuwa wao ni watu waeupe na kuukana uweusi au uafrica kwa kweli inatia kichefu chefu.

    ReplyDelete
  3. @Anonymous 19:53 ki uhalisia hakuna mtu mweupe ata hao wazungu sio weupe bali wanangozi ng'avu rangi ukitaka kujua rangi nyeupi basi angalia hapo unapo-post maoni yako hakuna mtu anayefanan na hapo

    ReplyDelete
  4. Unapozungumzia rangi nyeusi unazungumzia matairi ya gari. Je kuna mtu mweusi mwenye rangi ianayofanana na weusi matairi ya gari?
    Ili mtu ajulikane kuwa ni mtu mweupe hailisi kama mweupe kama meno au karatasi bali wao wenyewe wazungu wanaamini yakwamba lazima kuwe hakuna mix katika damu ya mtu anaejinasibu kuwa ni mweupe tangu ukoo wake ulipoanzia.

    ReplyDelete
  5. Unapozungumzia rangi nyeusi unazungumzia matairi ya gari. Je kuna mtu mweusi mwenye rangi ianayofanana na weusi matairi ya gari?
    Ili mtu ajulikane kuwa ni mtu mweupe hailisi kama mweupe kama meno au karatasi bali wao wenyewe wazungu wanaamini yakwamba lazima kuwe hakuna mix katika damu ya mtu anaejinasibu kuwa ni mweupe tangu ukoo wake ulipoanzia.

    ReplyDelete
  6. Huyo Huddah anasema angezaliwa upya anatamani azaliwe mweusi haitaji kuzaliwa upya anachohitaji ni kuacha mkorogo na rangi yake nyeusi haitachukua muda kurudi wiki mbili bila mkorogo unakuwa mweusi tena huko africa kwenye jua kali

    ReplyDelete

Top Post Ad