Breaking News..Zari Ambwaga Diamond Platnumz Siku ya Valentine Day...Kisa Kizima Hichi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Zarinah Hassan(Zari) ametangaza kuvunja rasmi mahusiano yake ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva nchini humo, Nasibu Abdul(Diamond Platnumz)

Kwa kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa kijamii wa Instagaram, Zari amesema kilichompelekea kufanya hivyo ni kutokana na Diamond kutokuwa mwaminifu kwenye mahusiano

Zari na Diamond katika kipindi chao cha mahusiano kilichodaiwa kuanza Novemba 2014 wameweza kupata watoto wawili, wa kike anaitwa Tiffah na wa kiume anaitwa Nillan
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KWANI WAMEACHANA WATU WAMBEA NA UONE WATAKUWA PAMOJA SOON ZARI ANAMPENDA DAI NA DAI ANAMPENDA ZARI ILA TU WAACHE SOCIAL MEDIA HUO NDIO USHAURI WANGU LASIVYO HAO WOTE WANA WAKATI MGUMU NA MAISHA YAO ZARI WANAUME WENGINE MUFLISI DAI WANAWAKE NI MAHAKAMANI MIKOSI MISINAMBE NYOTA KUSHUKA NA MENGINE KADHA WA KADHA WAWE WAANGALIFU WOTE KILA KITU MITANDAO ZARI HUNA SOMO NA MARAFIKI WENGINE NUKSI ZARI UNA MARAFIKI ()MEVAA NGUO NYEUPE KAMA MAJINI MAHABA JE WEWE MATATIZO YAO YANAYAWEKA KWENYE MITANDAO NI WEWE PEKE YAKO ZARI NDIO UNAPENDA KUWEKA KILA KITU KWENYE MITANDAO WATU WANA YAO YA DAI MADOGO LAKINI WAKO KIMYA WEWE KILA KUKICHA UNA NINI HASWA WEKA BIASHARA WEKA MAMBO LAKINI UKIVAA UKIKAA UKISEMA WATU WAMESHAONA UDHAIFUB WAKO NA KILA KITU KUFATILIA MAMBO YA MAGAZETI 99% NI YA UONGO NA DAI SIO KILA KINGAACHO NI DHAHABU UTAKUTANA NA MSINAMBE UTATAFUTA MGANGA KUMBE UNAJIROGA MWENYEWE NA UWE MWANGALIFU NA WATU WATU WAHAWANA MAPENZI WANATAKA CHILD SUPORT NO LOVE WATU WANAKUOMBEA UANGUKE HUNA MARAFIKI UNA MAADUI WENGI SANA ZARI NI MKE MZURI KWAKO WALIOBAKIA MMMMM NINA WAONEAV HURUMA SANA MITANAO HII INA MAMBO YAANI KAMA MALIMBUKENI KHAAAAAA

    ReplyDelete
  2. huyu mama anapenda kuzungumziwa huyu kila siku anatafuta jipya ili mradi tu awe midomoni mwa watu tu, duu nahisi utu uzima wake unamjia vibaya

    ReplyDelete
  3. Anachofanya Diamond hakiwezi kuvumilika na mwanamke yoyote yule kwakweli, bora avyochukuwa hayo maamuzi, mungu yuko pamoja na wewe mama, yatapita na utasahau

    ReplyDelete

Top Post Ad