Diamond Azidi Kuonyesha Ilipofikia Wasafi TV, Radio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Azidi Kuonyesha Ilipofikia Wasafi TV, Radio
February 13 2018 kupitia instagram page ya Diamond Platnumz amezidi kutuonyesha maandalizi ya Wasafi tv na Wasafi radio hii ni baada ya kupost video ya mnara kwa mara ya pili ambao unaonekana upo kwenye maandalizi kwaajili ya Wasafi tv na Wasafi radio.

Baada ya post hiyo kupitia instagram page ya Diamond Platnumz hajaandika chochote kuhusiana na Wasafi tv na Wasafi radio.

Diamond Platnumz alishawahi kupost mnara kupitia instagram account yake na wengi kutafsiri kuwa ndio maandalizi ya Wasafi tv na Wasafi radio na pia wasafi tv pamoja na Wasafi radio zitapatikana ndani ya makao makuu ya WCB.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad