Maamuzi ya Zari yanavyodaiwa Kumtesa Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo February 16,2018 Diamond Platnumz ameonekana kuonyesha hisia zake juu ya maamuzi  ya Zari kuachana nae, kupitia instagram account yake Diamond amekuwa akipost video clips mbalimbali za nyimbo za mapenzi.



Kupitia instagram ya Diamond Platnumz amepost kipande cha wimbo wake wa Sikomi na kuandika

“Unajua Nyimbo zingine Unaziimba ila Hata we mwenyewe zinakuingia Baadae😟…. Anyways 28 Days Before the Reveal of #AboyFromTandaleAlbum!🔥 #SikoMi Bonus Track on #AboyFromTandale Available on All Digital Platforms now!”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. you are call ur self lion act like a lion move on wajo wengi usihuzunike labda iko kher yako inakungojea mbeleni badili ya mwanamke ni mwanamke ila badili ya mama au ndugu ndio hupati so move on with ur life

    ReplyDelete
  2. Mpuuzi wakati akichepuka na mademu wengine huku akiwa katika mahusiano alifikiria ni nini mwisho wake?Hasizingue watu kuutumia vibaya huo umaarufu wake alioupata ghafla kwa kutembea hovyo hovyo na wanawake tofauti tofauti akifikiria ndivyo inavyotakiwa iwe usipoangalia mwishowe ni giza tu kwani wewe sio wa kwanza walikuwepo wengi sana wa dizaini yako duniani na sasa hivi imebakia historia tu wame-lost chukua tahadhari dogo kwani hao uwatetendeao hayo ni binadamu na machozi wayaliayo kwa ajili yako ipo siku moja yataku-cost remember"WHAT GOES AROUND COMES AROUND"So one day's gonna be your payday kwa madhambi yako uyafanyayo wewe wa kujiita"SUKARI YA WAREMBO"

    ReplyDelete

Top Post Ad