13 Mar 2018

Ajali: Roli la Mafuta Lateketea kwa Moto

Roli la Mafuta Lateketea kwa Moto

ROLI lililokuwa limebeba shehena ya mafuta ya petroli likitokea jijini Dar-es-Salaam kuelekea nchini Malawi limeteketea kwa moto leo katika eneo la Stamiko wilayani Rungwe mkoani Mbeya.

Jitihada za kuzima moto huo zinafanywa na kikozi cha zima mato na uokoaji kwa kushirikiana na jeshi la polisi na wananchi huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana.

Mpaka sasa hakuna mamlaka yoyote ambayo imezungumzia tukio hilo, pia hakuna kifo wala majeruhi aliyeripotiwa kutokana na tukio hilo.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuona Walichofanya Bilnass na Rosa Ree:
Soma Hizi Habari Zetu Kirahisi Kupitia Application ya Simu ya Udaku Special, Bonyeza HAPA
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger