Baada ya Mahojiano na Diamond, Times FM Wawekwa Kikaangoni na Kamati ya Maudhui ya TCRA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kamati yake ya maudhui inafuatilia mahojiano ya mwanamuziki Nasseb Abdul maarufu Diamond aliyoyafanya katika kituo cha Redio cha Times jijini Dar es Salaam.

Mkuu Idara ya Utangazaji ya mamlaka hiyo, Andrew Kisaka amesema wamechukua uamuzi huo kwa kuwa mahojiano hayo yamefanyika katika kituo wanachokisimamia.

JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inaonekana Diamond sasa kichwa kinamzidi mwili wake. Na inaonekana kabisa yakwamba sasa Diamond kachukua akili za Wema Sepetu akaziweka kwenye ubongo wake. Haya majibishano Diamon anayoendeleza na serikali kwa kumkashifu na kubishana na naibu waziri Shonza inaonesha jinsi gani wasanii wa Tanzania walivyo na uduni wa elimu. Majibishano haya hayana tija kwa Diamond na hawezi kushinda zaidi ni fitna za Diamond kwa yule Dada labda angependa kuona anatumbuliwa kwa kuwa yeye ni maarufu. Diamond kujibishana na yule waziri wa Kike inaonesha jinsi gani Diamond alivyo na dharau na uzalilishaji juu ya wanawake. Nnaimani kabisa kama waziri yule angekuwa mwanaume Diamond asingethubutu kumropokea hovyo. Diamond licha yakuwa yeye ni maarufu lakini anaonekana kuwa mjinga aliekosa elimu kwani ametaabika sana kujijengea jina mapaka kufika hapa alipo fika kama angekuwa mtu wa busara asingeweza kuanza kujipiga risasi mguuni mwenyewe kwa kuanzisha malumbamo yasikuwa na tija na Serikali. Serikali ni serikali popote pale duniani mtu mmoja mmoja hawezi anzisha vita halafu akashinda. Kama angekuwa mtu wa kujitambua Diamond tayari yeye ni Balozi mzuri wa nje na wa ndani wa tanzania au pengine Africa anatakiwa kuwa mature zaidi kwani anawakilisha watu wengi. Badala ya kuendekeza malumbamo ya kipumbavu na naibu waziri kwenye mitandao Diamond alitakiwa kuonesha ukomavu zaidi kwa kutumia njia za busara kwani hata kama angeomba kwenda kuonana na Raisi kueleza bifu lake na matatizo ya wasanii wengine kitu hicho kingewezekana. Lakini inaonekana Diamond ameamua kulalamika kwa kutumia njia za kijinga sasa ngoja tuone kati yake na Serikali nani mjinga zaidi.

    ReplyDelete

Top Post Ad