Comey: Hakuna Kiongozi Yeyote Anayeweza Kubadisha Tabia ya Rais Trump Kwasababu Hashauriki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Comey: Hakuna Kiongozi Yeyote Anayeweza Kubadisha Tabia ya Rais Trump Kwasababu Hashauriki
Aliyekuwa mkuu wa FBI nchini Marekani, James Comey ameiambia BBC kuwa haamini kuna kiongozi yoyote wa karibu na Rais wa Marekani Donald Trump anaweza kumbadilisha tabia yake.

Anasema tabia zake zinahatarisha hadhi ya nchi.

Kablwa ya kufukza na Trump Comey aliongoza uchunguzi dhidi ya kuhusika kwa Urusi katika uchaguzi wa Marekani.

Akizungumza katika kipindi cha Newsnight Comey anasema tabia za Trump zinaathiri wale wanaomzunguka.

"Nadhani tabia yake inaathiri hasa hasa kwenye suala la ukweli na jambo la msingi ni jinsi tabia hizo zinavyoathiri taasisi na watu wa karibu wake.Ana tabia a kuongea uongo na kuwa lazimisha wale wanamuunga mkono kukubalina naye na kuamini"

Trump alimshutumu Comey kuwa anayoyazungumza na uongo na siasa zake za ubaguzi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad