AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Muimbaji huyo anayefanya vizuri na ngoma ‘Kwa Ngwaru’ ameiambia Radio Five kuwa stori hizo zipo tu mtaani ila hazina ukweli wowote.
“Diamond kwa Harmonize ni kama mzazi, hakuna Harmonize bila Diamond, so mimi hata iweje atabaki kuwa Diamond, so hizi ni stori ambazo zipo mtaani,” amesema.
Ngoma ya Kwa Ngwaru ambayo Harmonize kamshirikisha Diamond, ni ya pili kufanya pamoja baada ya ‘Bado’ iliyotoka mwaka 2016.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK