google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html IGP Siro Kupambana na Wanaopanga Kufanya Uhalifu | UDAKU SPECIAL

IGP Siro Kupambana na Wanaopanga Kufanya Uhalifu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

IGP Siro Kupambana na Wanaopanga Kufanya Uhalifu
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Dodoma leo April 18, 2018 amefanya ukaguzi wa Askari wake ambapo pia alipata nafasi ya kuwaeleza Waandishi wa habari kuhusu hali ya usalama nchini ilivyo na kutoa onyo kwa watu wanaotarajia kufanya uhalifu.

“Mtu yeyote au kikundi chochote kisitishie amani ya nchi kwa  manufaa yake, watu watii sheria na atakayekwenda kinyume cha sheria sheria itamshugulikia. Watu wengi wanapenda kutii sheria ila ni wachache sana wanapenda kuingia kwenye uhalifu na mtu akiingia kwenye uhalifu lazima nitamshugulikia” –IGP Simon Sirro
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad