Masogange Ameacha Mtoto wa Darasa la Saba ...... Bongo Movie Wachangia Milioni Mbili za Kumsomesha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Masogange Ameacha Mtoto wa Saba ...... Bongo Movie Wachangia Milioni Mbili za KumsomeshaMarehemu Agness Masogange ameacha mtoto mmoja wa kike ambaye kwa sasa anasoma darasa la saba, na tayari Waigizaji wa filamu nchini Tanzania (Bongo Movie) wamemchangia kiasi cha shilingi milioni mbili kwa ajili ya kumsomesha, hayo ni kwa mujibu wa Zamaradi Mketema ambaye ndiye aliyethibitisha taarifa hizo leo Aprili 22, 2018 wakati wa kuuaga mwili wa marehemu katika viwanja vya leaders jijini Dar es salaam.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad