google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mchumba Wangu Ameanza Kuvaa ''SHANGA" Miguuni...Nahisi Ameanza Kamchezo.... | UDAKU SPECIAL

Mchumba Wangu Ameanza Kuvaa ''SHANGA" Miguuni...Nahisi Ameanza Kamchezo....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekuwa kwenye mahusiano ya takribani miaka mitatu(3) sasa na msichana ambaye awali alikuwa yupo chuoni ila kwa sasa ni mfanyakazi taasisi fulani hivi (jina kapuni). Amepangiwa nje ya MKOA wa DAR nilipo.

Tulipoanza mahusiano haya hakuwahi kunionyesha anayonionesha hivi sasa.

Amekuwa akipost pictures mbalimbali akiwa amevaa ''vimini'' na ''vishanga (vikuku)'' miguu yote Miwili....

Nimejaribu kumuuliza nini MANTIKI ya hizo picha, kanijibu eti "...mbona kawaida tu,..

NIPO SO FRUSTRATED; ISIJE IKAWA KAANZA KALE KATABIA... MAANA NILISHA MTAMBULISHA KWA BAADHI YA NDUGU.

Steve
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad