Benki Kuu Wamezungumza Mapya Kuwasili Mabilioni ya Dr. Shika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana May 24, 2018 nakusogezea Stori iliyoshika headlines katika mitandao ya kijamii inayomhusu  Dr. Louis Shika ambaye kasema fedha zake na vipande vya dhahabu vimewasili kutoka Urusi na ameonesha Document za kupokelewa kwa mali hizo hapa nchini.

Kaimu Meneja Mawasiliano wa B.O.T, Vicky Msina ambaye ameelezea kile kilichopo kwa upande wa Benki Kuu ya Tanzania.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad