Idriss Sultan "Social Media Isikudanganye Kuwa Ujasiriamali ni Kitu Fulani Kirahisi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


From @idrissultan - Social media isikupe maono kuwa ujasiriamali ni kitu flani kirahisi sana. Unaamka unaanzisha kampuni baada ya mda unaanza kuingiza hela. Hapana. Kuna siku utakua broke balaa huna hata kumi, kuna kipindi utakasirikia kila mtu kama vile ndio kasababisha, kuna kipindi utatoa machozi, kuna kipindi utahisi hamna anayetaka ufanikiwe na kila mmoja anakuzibia na kuna kipindi utataka kukata tamaa. Usikate tamaa, sio wewe tu yanakukuta, kuna kina sisi na kina Warren Buffet, kina Elon Musk, kina Jeff Bezos. Kila mtu ana shida kulingana na ukubwa wake. Mimi nawaza napata wapi hela ya nyumba, wewe unawaza unapata wapi hela ya ndege, Bill Gates anawaza anapata wapi hela ya kutengeneza tiba ya kansa na nanilii anawaza anapata wapi hela ya wigi jipya. Kila mtu na shida yake. Hamna nafasi ya kukata tamaa hapa. Haya amka tafuta hela ya luku.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad