Je Ungekuwa Wewe Ungefanyaje Katika Hali Hii iliyomkuta Huyu Jamaa? Huta Amini Macho yako Kilichomtokea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Umemkopesha rafiki yako wa karibu Tshs 400,000 mwaka jana, lakini tokea wakati huo amekuwa mgumu kulipa deni hilo, kitu kilichochangia kudorora kwa urafiki wenu. Unamuomba akulipe basi walau Tshs 200,000 tu alafu umsamehe hiyo nyingine kwakuwa kwa sasa una ukata na matatizo na una uhitaji na hiyo hela.

Rafiki yako huyo anakuambia anaweza kukupatia tu Tshs 150,000 kwasababu ndio kiasi alichonacho. Unaona huna namna zaidi ya kukubali tu kiasi hicho. Unampatia details zako za benki na account namba akutumbukizie humo.

Kuamka asubuhi unatizama kwenye account yako unakuta kuna Tshs 1,500,000😳😳 Unatizama tena kwa makini huamini unachokiona lakini bado kweli ni Tshs 1,500,000.

Unatizama vizuri simu yako unakuta missed calls 53 na meseji 27 akiomba umrudishie Tshs 1,350,000 kwasababu alitaka kutuma tu Tshs 150,000 lakini akakosea akaongeza 0 moja.

Wewe ungechukua maamuzi gani?

1.Utamrudishia kiasi anachoomba urudishe Tshs 1,350,000?

2.Utachukua zile zako unazomdai Tshs 400,000?

3. Utachukua zote Tshs 1,500,000?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nitachukua kiasi chote ninachomdai 400,000/-, kumbe anazo nyingi

    ReplyDelete

Top Post Ad