Mwanaume Aua Mama na Mtoto Wake kwa Kuwachinja na Panga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


TABORA: Jeshi la Polisi linamtafuta Mwanaume mmoja anayefahamikwa kwa majina ya Omara Matonya kwa tuhuma za kuwauwa kwa kuwachinja Mama na Mtoto wake

Mwanaume atorokea kusiko julikana mara baada ya kufanya mauaji hayo ya kinyama

Katika tukio jingine Jeshi la Polisi Mkoani humo lunamshikilia Mwanaume anayeitwa Ibrahimu Yohana mwenye umri wa miaka 40 baada ya kumkamata na silaha nne za moto aina ya Gobore

Mwanaume huyo anatuhumiwa kuzitumia silaha hizo kwa kufanyia ujangili katika Hifadhi ya Wanayamapori iliyopo katika wilaya ya Sikonge - #regrann
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad