Mzee wa Upako "Diamond ni Mnyenyekevu ila Ali Kiba ni Kiburi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), #AnthLusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja na kutoa sababu zake.

Akiongea na kipindi cha Maisha Mseto cha Times FM, Mzee huyo wa Upako amesema anampenda sana #Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu lakini #Alikiba ni kiburi.

👉“Mimi nampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, Simpendi Alikiba kwa sababu ana kiburi, nadhani kwa sababu amekaa Kariakoo,” amesema #Lusekelo.

Mchungaji huyo ameongeza kwa kusema,👉 “Ukipigia simu Diamond anapokea kwa unyenyekevu ila Alikiba anapokea kwa maringo. Ndio maana Diamond amefika mbali.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umeongea point Saaana kunywa soda ntalipa

    ReplyDelete
  2. Huyu mzee anataka kutukanwa bure tu

    ReplyDelete
  3. anawashwa washwa huyu mzee. kafie mbeleeee. hakuna kiki

    ReplyDelete

Top Post Ad