21 May 2018

Sheikh Kipozeo Atambulishwa Rasmi WCB

Sheikh maarufu hapa nchini Hilali Shaweji Makarani maarufu kama Sheikh Kipozeo hatimaye ametambulishwa rasmi Wasafi TV kuwa ndiye atakayeongozwa mafundisho yanayohusu mwezi huu mtukufu wa ramadhani .

Sheikh huyu amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kuwasilisha mada bila kuchosha watu wanaomsikilizaInstall Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD


Tazama Jinsi Rosa Ree na Emtee Walivyoshtua Watu...Huwezi Amini:

Share:
Weka Maoni yako Hapa

Total Pageviews


Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger