Bushoke Amtetea Q-chief "Hajawahi Kulala Kwangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bushoke Amtetea Q-chief "Hajawahi Kulala Kwangu
Msanii Bushoke ambaye aliwahi kufanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Bongofleva katika kipindi cha nyuma amefunguka na kukana taarifa za yeye kumuhifadhi Q-chief na kudai wapo watu wanaoweza kukosa sehemu ya kulala lakini sio swahiba wake huyo.


Bushoke ameeleza hayo kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuwepo fununu kuwa Q-chief tokea alipoachana na mpenzi wake hakuwa na sehemu maalum ya kulala hivyo maisha yake yakawa ya kutanga tanga na ndipo swahiba wake huyo alipomchukua na kumpa hifadhi katika nyumba yake.

"Q-chief hajawahi kukaa kwangu yaani hana shida, na ikitokea kaja kwangu basi anakuja kupiga stori tu na sio kwamba ana shida ya kulala. Kuna watu wa kawaida duniani hawawezi kukosa sehemu ya kulala kwa hiyo Chillah hawezi kukosa ni maamuzi yake tu kulala anapopataka maana anaweza hata kwenda kulala Nairobi nchini Kenya kwenye hoteli kubwa", amesema Bushoke
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad