Harry Kane, Ronaldo na Lukaku waanzisha vita yao Urusi kwenye michuano ya Kombe la Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakati michuano ya Kombe la Dunia ikiwa imepamba moto nchini Urusi ambapo tumeona baadhi ya timu zikifuzu hatua ya 6 bora ya michuano hiyo, vita nyingine kubwa zaidi ya kugombania kiatu cha mfungaji bora wa michuamo hiyo imeibuka.


Cristiano Ronaldo, Harry Kane na Romelu Lukaku

Vita hiyo ni kati ya washambuliaji wa timu ya Uingereza, Harry Kane, Ureno, Cristiano Ronaldo na Mshambuliaji wa Ubelgiji, Romelu Lukaku.

Kwa msimamo ulivyokuwa kwa sasa Harry Kane ndiye anayeongoza kwa kutupia magoli mengi kwenye michuano hiyo magoli 5 huku Ronaldo na Lukaku wakiwa na magoli 4 kila mmoja.

Wachezaji wawili Harry Kane na Romelu Lukaku tayari timu zao za taifa zimeshafuzu hatua ya 16 bora huku Ronaldo akihitaji angalau sare dhidi ya Iran ili timu yake iweze kufuzu.

Bado ni mapema kutabiri ni nani atakayeibuka kinara wa kutupia magolimengi kwa michuano hii ya kombe la dunia. Tazama Hat-Trick ya Harry Kane dhidi ya Panama kwenye mchezo uliomalizika leo jioni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad