tag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post7151512956862435229..comments2024-03-28T17:18:45.867+03:00Comments on UDAKU SPECIAL: Diamond: Msimamo wangu wa kujenga msikiti bado uko pale pale! Udaku Specialhttp://www.blogger.com/profile/04531911301372225515noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post-40724586005773998712013-04-04T14:06:36.287+03:002013-04-04T14:06:36.287+03:00mwamba unacheza na dini ee...we unatakajenga msiki...mwamba unacheza na dini ee...we unatakajenga msikiti na hela zako za haramu?wacha kumkufuru mungu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post-54615167679137097122013-04-04T09:54:53.705+03:002013-04-04T09:54:53.705+03:00Diamond usimtie m/mungu na hela yako ya kharam huy...Diamond usimtie m/mungu na hela yako ya kharam huyo hata ukijenga huo msikiti ni kazi bure tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post-26068655683250998382013-04-04T09:54:06.869+03:002013-04-04T09:54:06.869+03:00Diamond usimtie m/mungu na hela yako ya kharam huy...Diamond usimtie m/mungu na hela yako ya kharam huyo hata ukijenga huo msikiti ni kazi bure tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post-33568478265356641162013-03-22T12:33:45.669+03:002013-03-22T12:33:45.669+03:00Diamond hicho kipaji naamini mwenyezi mungu ndio k...Diamond hicho kipaji naamini mwenyezi mungu ndio kakupa nasi binadamu hata msikiti ukijenga nikwakipaji alichokupa yeye mwenyezimunguAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post-77923447292409242102013-03-21T13:03:03.248+03:002013-03-21T13:03:03.248+03:00This comment has been removed by the author.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post-21960628339558176872013-03-20T18:22:53.932+03:002013-03-20T18:22:53.932+03:00Hzo ni roho mbaya na za chuki. Hzo mlizopata kihal...Hzo ni roho mbaya na za chuki. Hzo mlizopata kihalali mbna hamjajenga? Na kwa nn umuhukumu kwa chuki zenu kwan nyie mnaijua kesho yenu? Na kwa usaf gan mliokuwa nao mpaka muijue dhambi? Hilo ni jasho lake muachen tena yy ukute ataiona pepo kuliko nyie wanafkiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post-26871935861047429322013-03-20T17:17:03.341+03:002013-03-20T17:17:03.341+03:00This comment has been removed by the author.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post-30446907509147550892013-03-20T16:05:05.419+03:002013-03-20T16:05:05.419+03:00Mheshimiwa diamond..nadhani nia yako ni njema ktk ...Mheshimiwa diamond..nadhani nia yako ni njema ktk ujenzi wa huo msikiti labda hukupata maelekezo mazuri kabla ya kufanya uamuzi huo..biashara ya muziki haikubaliki kwa dini ya kiislamu kama huo msikitini utaujenga kwa fedha za kazi hiyo au kama una kipato chengine ambazo hakikuhusiana kabisa na muziki..mimi ni kijana kama wewe na napenda pia nyimbo zako nina mapungufu kama yako..ningekushauri kama unataka kusaidia na kutegemea malipo na baraka mungu kuna vitu vingi vya kufanya vitawaneemesha walio na wasio waislamu..kwa mfano ujenzi wa visima vya maji, barabara, shule, vitengo vya mayatima na kadhalika, huo ni ushauri wangu tu, waweza pata ushauri mwema kwa wengineAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post-57044884481262158152013-03-20T15:04:14.231+03:002013-03-20T15:04:14.231+03:00Diaomond usicheze na dini mdogo wangu.. Hela ya ku...Diaomond usicheze na dini mdogo wangu.. Hela ya kupata club na kwenye shoo za kukata viuno usijenge nazo msikiti.. Hela yako ya mziki na mziki ni haramu.. Sio kama nakuhukumu ila fikiria hilo kakangu.. Msikiti ni sehemu ya ibada.!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1501550676009208466.post-39650914856616539702013-03-20T14:26:09.635+03:002013-03-20T14:26:09.635+03:00mziki ktk uislam ni haram..chanzo cha ela unachota...mziki ktk uislam ni haram..chanzo cha ela unachotaka kujenga mckit czani kama kwa Mungu kutakuwa na malipo..maybe pesa umepatia ktk njia ya halali kama mziki basi hiyo pesa itakua haramu kama muziki unavyochukuliwa haram ktk uislamAnonymousnoreply@blogger.com