Picha ya Wema Sepetu Akiliwa Mate na Njemba Yazagaa Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


STAA wa filamu mwenye jina kubwa Bongo, Wema Abraham Sepetu, juzikati alitupia picha yake akiwa kimahaba zaidi na mwanaume aliyedai kuwa ni ‘mume’ wake.

Picha hiyo ambayo aliiweka kwenye mtandao wa BBM inamuonesha msanii huyo akibusiana na mwanaume huyo lakini wakionekana kuanzia kwenye kidevu hadi kwenye kiuno.

Baada ya kuitupia picha hiyo, Wema aliandika: ‘Miss you mume wangu, wewe ndio kila kitu katika maisha yangu, watasema sana lakini mambo yetu yanatuendea vizuri.”

Maneno hayo yanaashiria kuwa Wema anampenda sana mwanaume huyo ambaye siyo Diamond.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe unaehusika na udaku KUMA pia wema KUMA na yoyote atakayemind KUMA tu

    ReplyDelete
  2. tako kweli wewe wema tena huna akili .Kauze baa ndo utatosheka, Unatuaibishawanawakewenzako mweuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  3. kwa raha zake maisha ni yake mwacheni ayaishi apendavyo, mbona dada zenu wanajiuza kinondoni hamsemi?mshiieeewww!

    ReplyDelete
  4. Njoo ni jilie zangu

    ReplyDelete
  5. Ww usimtukane mwandish we vip je asinge kuonyesha iyo picha ungejua tabia ya wema acha ushamba panya mkumbo we so lazima usome habar za wema au e blog fanya yako snitch mbinuko

    ReplyDelete

Top Post Ad