Changudoa Ananipiga Mizinga na Kuniambia Ananipenda

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPANilipita club moja nikaopoa changudoa moja ambaye ni mwanafunzi wa udsm. Kabla sijapiga mambo alinidai nimpe chake kabisa. Sasa kwa vile ni toto limeumbika balaa kama mnavyo muona Hapo Juu kwenye picha nikachukua namba ili nilitafune tena sikunyingine na yeye akaomba yangu nikampa.
Sasa nashangaa linanitumia msg za kuniomba hela na kuniambia ananipenda anataka kuwa wangu kimoja wakati linajua mi siyo bwanaake na uhusiano hapa ni wa nipe nikupe. Sijamtumia ananisumbua sana mpaka kero sasa. Sasa sijui nifanye nini kwa uzuri ni mzuri hasa hasa umbo na weupe wake ndio wanichanganya..ila ile fact ya kuwa nilimkuta katika madhingira ya kujiuza inaniumiza kichwa nahisi sinta kuwa na amani nikimkubalia...Nifanyaje wadau ? Nimtose ama?

Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. Chukua kisha mweke sawa.ukiona abadiliki potezea chapa tambaa kabla babu aja kuvaa bana.

  ReplyDelete
 2. Hapo we ndo mwamuzi angalia mwenyewe kipenda roho hula nyama mbich

  ReplyDelete
 3. kwanza mfanye awe karibu nawe kisha anza fanya tafiti ni ki2 gani kilichangia ye kujiuza kama ni ugumu wa maisha huyo ata weza change bt kama afanya 4 starehe achana nae uyo atakuuwa 2 ndugu

  ReplyDelete
 4. Chukua jipigie jaribu kumrekebisha kichwa kikae poa..ukiona linazingua temana nalo...

  ReplyDelete
 5. Kaka umesha mpima HIV? mpime afya zetu na kuzingatia maoni ya wadau hapo juu. Nyote mlikutana vicheche mmoja muuzazi mwingine mnunuzi. Kikubwa mjitambue tabia na historia zetu yumkini mkawa wanandoa.

  ReplyDelete
 6. Achana naye, demu cyo yeye 2, kwan hujui katembea na wangap tangu aanze kujiuza? pia atakuondolea cv (cancel out bwana)

  ReplyDelete
 7. Kwan huyo demu wako mwingine(hujamtaja)una uhakika hauzi?haya mambo ni ya muda tu braza,baadae ataacha isitoshe nyie wote Vicheche,so ongea naye vizur na umwambie hutaki abanjuliwe tena na wengine,huenda akawa wako daima kama mdau mmoja alivyoshauri.Ndugu yangu madem wengi tunaooa siku hiz ni second hadi third hand(left overs)tena its better huyo umejua tabia yake waweza mrekebisha,ACHA UOGA Mwanaume.Big up kwa kuomba ushauri.

  ReplyDelete
 8. Kwa mara ya kwanza nimesoma brog ya udaku watu wametoa comments zao kwa hekima

  ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad