Binti wa Advanced Level Sec Ananikosesha Raha Ndani ya Ndoa Yangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Ni Mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3.
Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi nikiwa barabarani na gari langu nikitokea nyumbani kwangu Mitaa ya Kihonda Magorofani nikielekea kazini Morogoro mjini.Nilikutana na Mwanafunzi kavaa sare za shule na alikuwa akielekea shuleni nae.Nilisimamisha gari na kumuuliza kama anaenda shuleni maana baada ya kuona sare alizovaa niliweza kutambua ni shule gani anasoma.Baada ya kumuuliza kama anaenda shule aliitikia kwamba anaenda shuleni, nilitoa Lock ya Milango ya gari nikamwambia apande nimsogeze kidogo.

Cha kushangaza niliona akifungua mlango wa mbele na kuingia maana nilikuwa peke yangu.Niliondoa gari tayari kuendelea na safari,tukiwa njiani niliweza kumuuliza jina lake, wazazi wake kadharika tulipeana hadi namba za simu.

Baada ya siku mbili alinitumia msg iliyosomeka hivi."Shikamoo, Habari ya kazi?Nimeona sio vizuri kukaa kimya wakati juzi ulinisaidia nikawahi shuleni.Jioni Njema na karibu nyumbani." Bahati mbaya hiyo msg sikuweza kuijibu maana nilikuwa niko na wife na zaidi niliifuta baada ya kuisoma.Baadae nilitafuta nafasi nikampigia kumjulisha msg yake nimeipata akadai amefurahi sana kusikia sauti yangu.Na mimi kama mwanaume nikamuomba atafute muda japo siku moja tukutane tena tuongee.Alikubali na kuniahidi nimtafute siku za Ijumaa jioni, Juma mosi na jumapili maana hizo siku anakuwa free.

Ilipofika Ijumaa nilimtafuta tukaenda Hotel moja nje kidogo ya Mji tukaongea sana na ikafikia hata mimi nikamwambia namtaka, alionekana mpole na akakubali ombi hilo pia akaomba tukutane siku inayofuatia ambayo ni Juma Mosi.Tuliingia kwenye gari nikamuacha jirani na nyumbani kwao na mimi nikarudi kwangu

Jumamosi mida ya saa 8 alinibeep nikampigia then nikamwambia ajiandae ndani ya nusu saa nitampitia. Time ilipofika nilimpitia sehemu tuliokubaliana tukaelekea sehemu husika, huko huko ndio tulipeana mapenzi(Nilimgegeda effectively). Baada ya siku hiyo kugegeda ikawa Continuously.

Ila shida imekuja sasa huyu binti anadai nimpeleke nyumbani kwangu ili nikamtambulishe kwa Mke wangu ili wafahamiane. Nimejaribu kumshauri kwamba yeye bado ni mwanafunzi hivo atulie kwanza amalize masomo yake lakini hanielewi

Anadai kila siku asubuhi niwe nampeleka shuleni na jioni kumrudisha kwa gari langu.Hilo nalo nikamshauri kwamba isiwe kila siku ila pale tukapoona inafaa bado haelewi.

Nimemkataza kunipigia simu au kutuma msg hasa mida ya usiku maana mke wangu atanielewa vibaya hilo nalo haelewi

Amechukua namba ya simu ya mke wangu kwenye simu yangu bila mimi kujua na kumpigia simu mke wangu nae akiwa kazini kwake akimtaarifu kuwa yeye ni mke mwenzie na baadae kurusha msg kibao akidai huo ni utambulisho tosha.Kwa ujumla siku hiyo hayo yote yalipotendeka mimi na mke wangu hatukulala kwa amani kabisa,Wife alilia karibu akataka kukesha.

Nilimfuata yule Binti nikamuonya vikali nusura kuchapa makofu na nikamwambia simuhitaji tena ila yeye kakomaa kwamba kama nataka kumpiga sababu ya mke wangu basi na nikimuacha anajiua na kuacha ujumbe.Ameenda mbali kuniambia kwamba nimemuharibia akili zake maana toka nifanye nae mapenzi hana hamu kabisa ya kusoma au kwenda shuleni.

Wakuu nifanye hapo, Kuna hatari mbili ambazo ni:
1. Ndoa kuvunjika (Wakati tayari tuna mtoto)
2. Kwenda Jera (ukizingatia huyu ni Mwanafunzi)

Naomba mchango wenu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aikutakiwa umwambie uyo binti mwanafunzi kama humtaki ilitakiwa upunguze mawasiliano taratibu pasipo yeye kufahamu lengo lako kwa mfano kama uwaa mnonana kila Hasubuhi Na jioni upunguza uanze kuonana kwa siku Mara 1 Na pengine kwa siku 2 Mara 1 akikuuliza una mwambia uke Bussy utamtafuta,Mwambie Mke wako ukweli pasipo kumficha kitu Na ikibidi abadilishe hata Namba Yake ya Simu ili awe mbali Na Dent.

    ReplyDelete
  2. kwani we ulivyofanya yote hayo ulitegemea mwisho wake utakuwa nn!? Na kwa nn ujihusishe na mapenz na wanafunz!? Wacha tu akuaribie..

    ReplyDelete
  3. Badlisheni namba za cm, wote hatakupata tena

    ReplyDelete
  4. idiot! Ulivyomtokea ulimuomba nani ushauri!?

    ReplyDelete
  5. Dawa yake ndogo sna hyuu tia vibao kama vi 5 hv ukiwa seriously afu kama atakufta tena hyoo master

    ReplyDelete
  6. Subiri kufirwa na serekali mbwa weeee ulimuomba nani ushauri ulipomtokea

    ReplyDelete
  7. Nitafute kwa Cm kaka nikusev niwezavyo...

    ReplyDelete
  8. Nauza Picha za uchi za mzee kimambi alipobakwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tayari nimeshazilipia kaa nazo km zawadi cc hatuzihitaji hahahahaaaa....!!!

      Delete
    2. hahahaaaaa nmekupenda BURE.....sa cc pcha za mtu alobakwa tena mbaya zaid keshatangulia mbele za haki za nn tupe zako zile za kubakwa tukupe pongezi

      Delete
    3. Ebwana ntazipataje?ntatoa hela yoyote

      Delete
  9. mmeamia huku tena wachonganishi? Kazi mnayo

    ReplyDelete
  10. Wabongo kwa kuropoka si mumsaidie mwenzenu?? kama huna mawazo ya kuchangia c uzime kimeo chako ulale kuliko kumwaga mitusi hovyo???
    mnaboa mbaaaaaya!!!!!!

    ReplyDelete
  11. Awali ya yote pole,chakufanya usifanye nae mapenzi tena.pia usibadilishe namba ya simu ,ila ubadilishe anavyo waza,na kumfanya km mdogo wako,na umwombe msamaha,na akikupigia simu pokea kwa upendo na kumwelekeza asome kwa bidii atafanikiwa ktk maisha yake.
    kuhusu ndoa mke wako hata kuelewa hata ukijieleza,chakufanya mwombe msamaha na kuahidi haitatokea tena,ila wanawake kukuelewa kwenje shwala la uzinzi si rahisi,pia umwombe Mungu uache hiyo tabia ya udhaifu ,angekuwa motto wako wewe ungejisikiaje?

    ReplyDelete
  12. Badilisha namba za simu na uache upumbavu

    ReplyDelete
  13. Linda bedui Yuko huku pia?Lila blogu yupo Hivi Hana kazi ya maana ya kumkeep busy?du.

    ReplyDelete
  14. ukome...kila skirt mnayoiona mnaidandia...ndo mwisho wake huo

    akuharibie tu....

    ReplyDelete
  15. pole sana kaka wanafunz kaz yao kuvunja ndoa za watu!!!

    ReplyDelete
  16. ww endelea kupiga mkojo kaka wache hao hawajui raha yake

    ReplyDelete
  17. Wewe mfire tuu utaona anakimbia mwenyewe

    ReplyDelete
  18. badilisha namba za simu

    ReplyDelete
  19. mbona hii story ilishatolewa toka mwaka jana mbna mnarudiarudia tu this the second or third time mnaitoa the same story. be creative.

    ReplyDelete
  20. Hiyi msg niyakitambo mmekosa vitu vyakuandika.

    ReplyDelete

Top Post Ad