Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA
Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA
Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA

Nilibahatika kuolewa miaka saba iliyopita na kubarikiwa kupata mtoto wa
kiume mmoja.apo awali maisha ya ndoa yalikuwa mazuri sana.mume wangu
alinipenda na kunijal sana.mume wangu ni mfany kaz wa benki moja ivi
kubwa apa jijini,hivyo suala la pesa halikuwa tatizo kweny ndoa
yangu.siku moja usiku mume wangu alienda kuoga na kuiacha simu yake
kitandani,kwa kuwa yy ni mume wangu sikusita kuichukua simu yake na
kupekua msg kweny simu.nilishtushwa na msg za mapenz nilizozikuta,kwan
mume wangu hakuw na tabia ya kutembea nje ya ndoa.bas niliumia sana
moyoni ila sikumwambia,nilipang kuchunguza mwenyew ili nimjue huyo mwiz
wangu..kwel nilifanikiw kuiba na namba ya simu ya huyo mtu na kumpigia
akapokea mvulana nilijua nimekosea namb,nikaangalia namba
vizur.nikapiga tena nikamwambia natak kuongea na mwenye simu,yy akajibu
simu ni yake nimwambie shida yake nin..nikamuuliza unamjua fulan(jina la
mme wangu).akasema ndio anamjua nikamuuliza ni nani kwake.akakata
simu,nilijaribu kupiga ila hakupokea.niliumia sana moyon nakumbuka
nilikuw na mimba ya miez sita.mume wangu alivyorud sikumwambia kitu..ila
aliniona siko saw na kuniuliz nikamwambia ni uchovu tu.nikaanza
kumfuatilia nyendo zake.nakimbuka ilikuw jumamos mume wangu aliniag
anaenda saloon kukat nywel,nikakubal ila alivyotok tu nikamfuatilia
nyuma..nilishangaa kumuona akiingia kweny nyumba moja ivi maeneo ya boko
dawasa.nilijiuliza mume wangu huku anamfuat nani kwan hakukuw na ndug
wal jamaa aliyeish maeneo hayo.nilikaa pemben kama saa moj iv ndo akatok
na kijan mmoj iv mrefu mweupe umr kati ya miaka 22 au 23.nilishangaa
san kwan sikuwah kumuona mume wangu na rafik mtot kias kile..nilijiuliza
atakuw ni nani..nilipat shida sana kuelew ile hal..baadae mume wangu
akaondok yule kijan akarud ndan.
Nilivyorud nyumbani..usiku wake niliwah kulala na kumuach mume wangu
sebuleni..niliingia chumban na kujilaza..baadae mlango ukafunguliwa
alikuw ni mume wangu na sikutak kugeuka ukabamizw tena nikajua anakuj
kulal kumbe aliingia na kutok baada ya kuon nimelala..baadae nilisikia
mtu anaongea na simu kwa nje..nilitega sikio kwa umakin..nilisikia saut
ya mume wangu akiongea kimahab kweny simu,sikujua anaongea na nan ila
nilisikia akisema mama yake yaan mama mkwe wangu hana shida ana mambo ya
kizungu hawez kuleta shida..na kuwa harus itafanyik kwa sir
nchini(africa) na itakuw na watu wachache tu..nilishtuk san pale
aliposema kuw tanzania hairuhus ndoa ya jinsia moja..sikutak kuamin mume
wangu anatak kumuoa mwanaume mwenzie..nililia san chumban.mbaya zaid
siku iz amekuwa mlevi na anawez kaa nje siku tatu had nne ukimuuliza
ngumi yaan ndoa yangu naiona chungu..kuna kipindi had gar yangu
aliichukia na kumpa huyo kijana atumie ila ilirud baad ya miez
miwil.nilishamkany huyo kijan na kumpig mar kadhaa ila hasikii mume
wangu nae hatak kumuacha..nimesharud kwet kijijin mar mbil ila anakuj na
kuniomb msamah yanaisha ila ni mates baad ya mda anarudia
tena.kampangia nyumba anamsomesh chuo huyo kijana ila nashindwa kumuach
mume wangu huduma zote ananipa ila tatizo hilo tu..
11 Comments
mh hadi naota vipele vya baridi. piga goti dada mshitakie mungu vinginevyo huyo keshaonja huko hatamuacha kamwee
ReplyDeleteamin Ndoa yako imepangwa toka mbingun cha maana mkumbushe Mungu kwa magumu unayoyapata yeye ndiye solution,hao wanamapepo
ReplyDeletemmmmh inatisha jamani pole sana sali sana huwa naskia mapenz ya jinsia moja n hatareee
ReplyDeletehehehe chezea mkundu ww
ReplyDeleteChezea tgo wewe!!! Lakin ni upuuz mtupu kumtawaza mwanaume mwenzako
ReplyDeletena wewe mpe iyo 0718 atoke kwa huyo kijana,
ReplyDeletePole sana usijali Kuwa karibu sana na M/Mungu yataisha na wala usijitiye simadhi . Mwanume huyo ayefanya una hakika ni pekee huyo mume wako vipi na yeye .
ReplyDeleteSiamini hiyo story. Ni kama ya kuitengeneza. Kama ni kweli ungeshapeleka malalamiko kwa wazee. Sema lingine
ReplyDeleteHii hadithi ni ya kutunga na walotunga ni mashoga ili wajipromte.mshindwe.
ReplyDeletemhhh laana hii loo achana na huyo mume maana na yeye ni shoga loo. ondoka haraka kuna siku atakugeuza na wewe shauri yako. laana mkubwa huyo mume
ReplyDeletehahahhahaha
ReplyDelete