Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA
Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA
Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA
Kuna uwezekano swali lako likawa lilelile ambalo wengi walikua wakitaka jibu lake, Bella wa Akudo yukwapi? …..yuko Sweden kwa sasa na ameahidi kufanya Exclusive interview very soon na TZA millardayo.com so kaa karibu mtu wangu. Pamoja na kwamba yuko mbali na Bongo kwa sasa, bado anataka kuzidi kuiweka alama kwa kila shabiki wa nyimbo zake ndio maana katushushia video mpya aliyoifanya hukohuko Sweden inaitwa ‘Msaliti’
0 Comments