Mikopo ya Benki ni yakuiogopa sana!Mama alala juu ya paa siku 5 bila nguo wala Kula

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni baada ya kumkopesha mteja wake zaidi ya milion 200, mteja ameshindwa kulipa wameuza mali zake deni halikutimia then wanataka na nyumba ya mdhamini aliye dhamini huo mkopo...Mteja anaidaiwa ni mdogo wa mwenye mabasi ya Sumry
Akikaririwa na vyombo vya habari mama mwenye nyumba ambaye alipanda kwenye paa akitishia kujitupa chini kuzuia TIB kuuza nyumba yake amedai wangewasiliana na mumewe ambaye ndo mdhamini waeleze hali iliyopo na sio kukurupuka na nyumba yake ilhali wana uwezo wa kulipa kiasi kilichobaki.mpaka jana usiku nilivyopita eneo hilo nilikuta bado kuna vurugu ambazo sikuzielewa mpaka mtu mmoja alipiga risasi juu kutawanya watu ....

Comment kutoka kwa Mdau
Yaah hii taarifa ilisikika mchana kupitia clouds fm but na ss hivi itv wameionyesha.kwakweli inatia huruma sana kwan huyu mwanamke amevaa kanga moja tu.na toka jumamosi yuko tu juu ya paa hajala kabisa.na pia hao msama action mart ambayo ni kampuni ya msama huyu anayeendeshaga matamasha ya pasaka hawajamtendea haki mwanamama huyu kwani instead off kupeleka wanawake ndio wadili na huyu mama wao wamekuwa wakipeleka mabaunsa tena wengi zaidi ya 20 just to deal with one lady ambae hana hata silaha!!shit naomba tamw,tawla kama huwa mnapitia hapa pls mchukulieni hatua kali hawa msama kwani haki za mwanamke zimekiukwa wazi.na ingekuwa nchi nyingi wangeandamana kabisa kulaan kitendo hiki.am not a lawyer but I wish I could yan ningewashtaki kabsa hawa.madai yanaonyesha pia kuwa utaratibu haukufuatwa kwani hata serikali ya mtaa hawana taarifa.kama mwanamke nina laan vikali kile kitendo cha kumdhalilisha mwanamke mwenzetu!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama anauwezo wa kulipa deni kwa nini mnang'ang'ania nyumba yake, huo ni wizi tu.

    ReplyDelete
  2. mmmmh hivi kumbe ni kampuni ya msama wa mataasha ya dini? kwakweli sijui kama anadini yy! hii nchi apart from huyo auction mart inadhuluma sana haki hapa tz haifuatwi hata kidogo,km wlifuata all the procedure to sponcer huyo mtu kwann na wao wasifanye taratibu kuwasliana nae?FULL DU\HULUMA HAPO!

    ReplyDelete

Top Post Ad