Rais Kagame Amkejeli Rais Kikwete kwa Kuuita Ushauri Wake ni Ushauri wa Kijinga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 DHARAU  za Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jakaya Mrisho Kikwete zimewagawa Watanzania  na  kuwafanya  wawe  na  mitazamo  tofauti.


Wapo  wanaomuunga  mkono  Rais  Kagame  na  wapo  pia  wanaompinga  kwa  kauli  yake...

Rais Kagame alimkejeli  Rais Kiwete kwa kuuita ushauri wake ni ushauri wa kijinga kwa wanyarandwa,awali Rais Kikwete alizishauri nchi za Rwanda na Congo DRC kukutana na kumaliza tofauti zao kwa njia ya amani.

Rais Kikwete alitoa ushauri huo wakati wa mkutano wa kujadili amani na mpango wa ulinzi nchini Congo DRC uliofanyika katika Makao Makuu ya AU mjini Addis Ababa Ethiopia.

Katika ushauri huo Rais Kikwete alisema kwamba ni vyema Rais Kagame akakaa katika meza ya mazungumzo ya amani na Rais wa Congo DRC Joseph Kabila ili kumaliza tofauti zao badala ya kutumia nguvu ya kijeshi.

“Nimekaa kimya kwa kipindi kirefu na kwa jinsi nilivyoweza kwa sababu nilifikiri kwamba mazungumzo ya kipuuzi yaliyozungumzwa na watu wajinga yamemalizika "alisema Rais Kagame.

Katika hatua nyingine Rais Kagame alisema kwamba ushauri huo wa Rais Kikwete ni sawa na kuwachezea wanyarandwa mbele ya mataifa. 

Rais Kagame aliyasema hayo katika sherehe ya kuhitimu mafunzo ya maofisa wa jeshi wapatao 45 katika kituo cha mafunzo ya kijeshi siku ya Juma Tatu nchini Rwanda.

NB:
RAIS  WETU  SIYO  MJINGA... HILO  NI  TUSI , JK ALIWAPA  USHAURI  WA  BURE...MLIKUWA  HURU  KUUTUMIA  AU  KUUACHA 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ya nchini kwe2 mangapi yamemshinda anaingilia ya nchi za wa2 hapa tz kuna mangapi yanalalamikiwa ye kakaa kimya

    ReplyDelete
  2. kamfanya vizuri sana mana watanzania tumezidi kujipendekeza kwa watu

    ReplyDelete
  3. Ya Rwanda hayatuhusu, haya sasa majanga

    ReplyDelete
  4. KAGAME SIYO MSTAARABU,HANA ADABU.ALICHOSEMA KIKWETE NI USHAURI HAJAWALAZIMISHA ,HALAFU NASHANGAA SANA WATANZANIA WENGINE WANAMLAUMU KIKWETE HAMNA ADAMU NA NYINYI PIA ,HATUITAJI SIASA KTK HILI TUNATAKIWA TUMUUNGE MKONO RAISI WETU HAJAONGEA VIBAYA.FATILIENI KWA UNDANI KAGAME SIYO MTU MZURI NA AKIZINGUA ZAIDI SERIKALI MSHUGULIKIENI

    ReplyDelete
  5. YEYE KAGAME NDIO MJINGA DICTATOR MKUBWA MWENYE NJAA YA MADARAKA NA MUNGU ATAMLANI MUDA WAKE UMEKWISHA ,KINACHOMUUMIZA KAGAME HAMKIJIU BALI AMEKASIRIKA TANZANIA KUKUBALI KUPELEKA BRIGADE YA KULINDA AMANI CONGO SASA KAGAME ANATAPATAPA.YEYE NANI KAGAME SI MTU TU HAWEZI KUSHINDANA NA NCHI ILIYOTUKUKA ,AENDEE HUKO

    ReplyDelete
  6. according to you is this what Kikwete said " ni vyema Rais Kagame akakaa katika meza ya mazungumzo ya amani na Rais wa Congo DRC Joseph Kabila ili kumaliza tofauti zao badala ya kutumia nguvu ya kijeshi." noo sorry guys but this not the right information that you've got, what he said is rwanda to seat on the table of negotiation with FDLR which are criminals that committed genocide in rwanda and flew the country and still where they are, they are killing raping innocent people, on the other side its like he want H.E Kagame to seat on the same table with murderers of more than 1 tusti almost 20years ago? and that is what you call ushauri??? before calling him names and names just try to use ur brain if u still have a little of it beside its very obvious that tanzanians hates rwandans but u should at least try to be clever enough to hide ur dirty game.

    ReplyDelete
    Replies
    1. You must be crazy to say "its very obvious that tanzanians hate rwandans"!! For your information they're thousands of rwandans living in tanzania in peace and harmony more than cn ever get in rwanda. Get your facts right before you speak!

      Delete
    2. Guys. Let's try to be realistic here. Saying Tanzanians hate Rwandans,i think that's not true at all. But some Tanzanians do that because of their own agenda. It's true also that there are Rwandans who live and enjoy life in Tz but I'm not sure if they can't get that and more in their country. That one I can't confirm. However, we ordinary people sometimes suffer the consequences of our political leaders mistakes. Kikwete made a diplomatic mistake whether intentionally on due to ignorance ofcoz but this issue becomes big due to the fact that the guy and his advisers did not want to clarify his point, instead, they decided to create this long debate by public which i think is not good for the well being of our friendship because Tanzanians and Rwandans are relatives since long and Tanzania is well respected for its good record and history built by wise leaders. Kikwete should have followed their way other than leaving his people in internal crisis and attack other countries just because their leaders are giving him hard times with their success stories. Otherwise, let me tell you guys, journalists in Rwanda did the same mistake by publishing reports wrongly for their own agenda and interests of their lords. This drove Rwanda into the catastrophic genocide against Tutsi commited by these internationally recognized terrorist of FDLR formally known as INTERAHAMWE.Kikwete did not advise Kagame to sit and discuss with Kabila as this guy is saying. He asked Kagame to negociate with FDLR of whom their leaders have been listed as most wanted terrorists due to what they did in Rwanda and in DRC. This Kagame you are talking about at first was hated by his fellow Tutsi for his decisions leading to reconciliation such as freeing some of these criminals who decided to abandon their segregationist ideology. some left the battle field joining other Rwandans to build their country, others decided to remain with their hope that one day they will reconquer this nation and finish their mission of terminating the remaining Rwandans. These are people Kikwete wants Kagame to seat and have a discussion with. Just tell me one nation which had a talk with terrorists and Rwanda will be the next. Just think of sitting with people of whom even US and UN ICTR are searching with a lot of millions over their heads for any one who will help leading to their capture. Just ask yourselves if Kagame negotiates with them as Kikwete says, what will be the equilibrium point!? Because for him(Kikwete), he confuses these people with Rebels like M23 who opposes their country's leadership. Will Kagame say please we are remaining with only 4milion Tutsi please kill only two don't terminate all of them!!?? Jamani aliyechoka amani afike Rwanda aone machafuko yanayosababishwa na viongozi wasio na busara wanaowapeleka viongozi wao kwenye bangi ili wawapumbaze waendelee kutawala bila shida yanavyoangamiza milioni za watu. MUNGU IBARIKI AFRIKA NA WATU WAKE.

      Delete
    3. Remember RPF also killed millions of hutu in the refugees camps in the eastern DRC in 1997...who took action? who anounced it on radio? Kagame was also a killer, he killed many hutus whenhe was leader of the rebel group, he killed Havyarimana and Ndagyamira...who took action? as for me i suggest Rwanda to be expelled from east africa community and President Kikwete should call back the Tanzanian Ambassador to Rwanda.

      Delete
  7. Mwandishi amedanganya! Haya maneno yametoka wapi? Tafsiri ya kutoka English kwenda kiswahili haiko sawa.

    ReplyDelete
  8. Mwandishi amedanganya! Haya maneno yametoka wapi? Tafsiri ya kutoka English kwenda kiswahili haiko sawa.

    ReplyDelete
  9. Kagame tatizo yake nini ndani ya congo kama aiko wizi tu wamali yawatu diamon,gold nakadhalika kwanza hana adabu kwa kumutukana rais wa Tanzania Jk kama ni mjinga

    ReplyDelete
  10. http://africanarguments.org/2013/06/11/kikwete-in-trouble-over-fdlr-but-does-he-really-understand-who-they-are-–-by-frederick-golooba-mutebi/

    ReplyDelete
  11. but rwandiz has bad heart always p'ple u didn't know but that's is the truth they want to gain,rule u over so we must be care wth them.they are lookin for sam thing if our president say so its wasn't bad it just a matter of refuse or accept no one force them than accusing someone for no reasons,why?? remember who helped u rwandas if not Tanzanian wen ur introuble watch out neva stape here in TZ,ll be burnt alive(send bck on ur fire country)

    ReplyDelete
  12. jamani kikwete ajakosea...Huyu umbwa wa kitaa(kagame)hataki amani.Mimi naishi rwanda na wala atuna amani.Nyinyi wa bongo mnaongopa ichi ndogo kama hyi,ata wa nyarwanda wamefurahia wazo la raisi kikwete kwaiyo ningeomba wa bongo mumshikiliye rais wenu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanyarwanda wa leo hawatukani hivyo ni wastaarabu na wewe kama waishi Rwanda jifunze ustaarabu na usiusemee moyo wa wanyarwanda wote kama unakubali ni wewe tu na balaa lako.

      Delete
  13. MAMBO YAO TUWAACHIE WENYEWE IT WAS JUST AN ADVICE U CAN TAKE IT OR DUMP IT.PERIOD.

    ReplyDelete
  14. I think Rwanda will turn again into war after the end of Kagame domination because I am sure Kagame is doing everything to burn Hutu who are almost 80% of Rwandans' population and they believe they deserve to lead their country and not TUTS who are immigrants maybe (their thoughts),so what Kagame is doing is to cover a fire with bed-sheet. Kagame should think of sustainable approach to address the enemity between Tuts and Hutu instead of using power to burn them, he will never succeed unless he kill at least 50% of Hutu things that he cant do. About the US and UN offering money to find the group, is very low of thinking, do you believe US&UN cannot catch the group? do you thing they are serious or they are just frawding you...also if Kagame became in trouble with TZ do you think TZ can avoid offering support the group that may lead even to more trouble in Rwanda? I am looking at this argument as an indicator of failure of Kagame in understanding the threats around him...what Kagame ought to do was to proceed keeping quite or using a positive statement that has no multiple translation or literal contradiction to avoid such conflict. No matter Kikwete spoke from ignorance Kagame ought to keep that from the public.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Turning into the war! Mr. Anthony Muhanda, that is your wish. You are the only one who believe Hutu should rule Rwanda. Rwanda should be ruled by real and patriots and those are neither Hutu nor Tutsi. Rwanda will be ruled by Rwandans regardless of their clan, tribe, origin and so many ideologies you have in your head dividing the society. Okay Let Tanzania offer supports to FDLR and see what it will gain. Keeping quiet not on public...... did Kikwete speak from his room!!??
      This time you are going to be proven wrong once again.

      Delete
  15. kilichofanya wanyarwanda kukataa ushauri ni kwamba ushauri wa rais kikwete ni wa ukweli na umegusa ukweli halisi. naomba niongezee kwa ushauri wa rais kwamba watusi hao wasioukukali Rwanda kutawaka tena kama eastern DRC kukiwa peaceful. FDLR sio tu walioua, mbona Kagame alikuwa muhasi na alikaa meza moja na Havyarimana? Kagame hiyo ni kiburi ya watusi...ndio maana kwao ubaguzi hautaisha. ushauri wangu...huyo mtusi akionyesha jeuri Rais avunje uhusiano wa kibalozi. hata hivyo ni watanzania wachache sana tena sana wanaoishi Rwanda..pili msako ufanyike wanyarwanda warudishwe kwao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Itakuchukua muda kuelewa kwamba kuna tofauti kati ya waasi na maghaidi. Na kumbuka asiyejua maana haambiwi maana. Kwa mtu mstaarabu tena anayeona mbali hawezi kuzungumzia uchache wa watanzania asiowajua eti wanaoishi Rwanda. Fahamu kwamba ni wengi na hata wangekuwa wachache hakuna damu isiyo na thamani unawaita wachache kwa sababu wewe si miongoni mwao.

      Delete

Top Post Ad