Ticker

6/recent/ticker-posts

RAY C ATUMA SALAMU ZA MWAKA MPYA KWA RAIS KIKWETE NA KUMSHUKURU KWA FADHILA ZAKE

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA

Story ya mwanadada Ray C si ngeni masikioni mwetu. Leo hii kabla ya mwaka kuisha ameamaua kufunguka kupitia account yake ya Instagram na kunadika shukurani zake kwa baba yake Rais Kikwete kwa kumuokoa katika janga la madawa ya kulevya ambalo lingemmaliza. Soma maneno yake yakugusa hapa chini:

"Baba Na mengi ya kukueleza Baba, niseme Kitu gani ujue ninakupenda baba, niseme nini ujue ninakuthamini Baba, niongee lugha gani ujue ninakujali Baba, nikulipe nini ujue ninakushukuru Baba, Sina cha kukulipa Baba, ila nakuombea maisha marefu Baba, Mbona Una roho ya pekee Baba, Mbona uko tofauti Na wengine Baba, nashukuru kwa kunisitiri Baba, nashukuru kwa kunijali Baba, nashukuru kwa kunitoa shimoni Baba, Baba Sina cha kukulipa Baba,ila nakuombea maisha marefu Baba,walinikimbia wengi nilipopata matatizo Baba ,lakini Baba yangu huku iacha nife Baba, Baba ulihangaika kuokoa uhai wangu Baba, Huruma yako ndio ilioniokoa Baba, Bila wewe Baba Leo ningeitwa Marehemu Baba, nikulipe nini Baba????

Sina cha kukulipa Baba ila nakuombea afya njema Na maisha marefu Baba, roho yako ni ya kipekee Baba,Mungu akulinde Baba,M ungu akupe maisha marefu Baba,Bila wewe Baba, Leo nisingekuwa nilipo Baba,Nathamini Msaada wako Baba, Na ninahaidi Kamwe sitakuangusha Baba, umenifanya Nijithamini Na kujijali Baba, umenifanya nijijali Baba, umenipa Nguvu ya kusimama mbele ya watanzania wenzangu Na kuwaelezea madhara ya madawa ya kulevya Baba, Leo hii nasimama kupiga vita dhidi ya madawa ya kulevya Baba.....Umenipa ujasiri wa ajabu Baba, Sina cha Kukulipa Baba Ila Mungu Atakulipa Baba.....Tanzania Bila Madawa ya Kulevya Inawezekana......Happy New Year Dad.........#Myhero#Mydad#Mypresident#Amen"

Post a Comment

18 Comments

 1. Gud lkn upunguze kujipendekeza sana huyo ni mume wa mtu.Hongera sana kwa kuliona hilo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. NI BABA YAKE MZAZI unalo

   Delete
  2. Mume Wa mtu Huyo acha kushoboka,maana nyie madada ya mujini baba yenu mmoja mama yenu mmoja

   Delete
 2. Ukivuta 2 miaka saba + masembe? chezea mihadalati?

  ReplyDelete
 3. Hizo shkurani hazishi tu!

  ReplyDelete
 4. c alisema anatafuta mpenzi m2 mzima? au ndo cha kumlipa huna unataka umlipe k*ma?

  ReplyDelete
 5. Na unavogambana na zamarad kumgombania ruge mitandaon huon km unamtia aibu hyo babako.....imetosha kaa kimya....unadhan utaitwa tena ikulu

  ReplyDelete
 6. mmh dada anashukuru huyo.ila punguza kdogo khaaa baba nyng il tuseme una iman xana au

  ReplyDelete
 7. Anataka kitu kingine,anaanza taratiiiibu,koma bibi usimtie majaribuni mume Wa mtu,baba,baba,baba,kakuzaa lini?ushasaidiwa lala mbele,baba baba inahuuuu?

  ReplyDelete
 8. mhhh mbona hyo shukrani imekaa kama sala !!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ana lake jambo kwani hawa wasanii amuwajui?wanatumia kila njia kutoka kimaisha,wenye kuuza sembe,wenye kutoka na vigogo,yoote kukwepa ugumu Wa maisha.atajitongozesha na mimacho yake ka ndimu,usimtie baba Wa watu majaribuni,komaaaa

   Delete
 9. Hahahh...baba yangu babawewe baba jamani babaaaa...kujipendekeza.com

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ni baba ake mzazi wewe unajua Mimi nilisoma nae primary alikuwa anaitwa Rehema kikwete .

   Delete
 10. Duuh! inatisha, unakaribia kumfanya Mungu maana hizo baba zilivyo pangana kama dua.

  ReplyDelete
 11. baba nakupenda baba, baba hakuna kama wewe baba, eheh jamani, baba imekuwa baba jamani baba, hahahahaaha nimecheka hapa baba yaan acha tu baba!!

  ReplyDelete
 12. Shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!! DC...................................Karibu na makao makuuuuuuu:'Biha..............TEBI...................Msakwa.bin Fadhila baba, baba dady dady:Tunajua

  ReplyDelete
 13. Ni vizuri kushukuru ukisaidiwa RC........ Lakini usishukuru sana kupita kiasi mpaka unamtia majaribuni mume wa mtu... But its good thing ulivyo mshukuru.

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)