2/15/2014

KIKWETE:TUNAWAJUA NA KUWATAMBUA MAJANGILI WA TEMBO TANZANIA.


Hivi kwa nini JK anaongea sana?

How hard is it kuwachukua hawa watu, na kuwafilisi kila kitu kisha kuwaachia huru?

Maana kuwafunga ni kumaliza pesa za walipa kodi kwani watakula bure jela

I'm very disappointed na hii softly softly approach ya JK.

Pia kwa nini ripoti ya Kamati ya Maliasili haiko wazi ili kila mwananchi mlipa kodi aisome na ajue hao watu wakubwa ni akina nani?

JK nakushauri vua kufia yako ya uanasiasa vaa kofia yako iliyokufanya ukaitwa COLONEL kule JWTZ

Na kama COMMANDER IN CHIEF wetu sote tuko nyuma yako.
JF
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

6 comments:

 1. Hizo stori tumezichoka. Wataje majina yao tuwajue

  ReplyDelete
 2. Na mtakuwa disappointed sana wadanganyika.

  ReplyDelete
 3. Mbona huwataji au unawaogopa?tumechoka na story zako,mara nawajua wauzaji wa madawa ya kulevya mara nawajua vinara wa majangili tumechoka mziki huo huo kila cku na haufiki mwisho.Tumechoka kudanganywa

  ReplyDelete
 4. Kama vipi tuluhusu na sisi tukamalizie waliobaki, inachosha sana kirasiku nawajuwa nawajuwa hutekelezi. wataje nasisi tuwajue kama wewe unawaogopa sisi tutawafanyia kazi

  ReplyDelete
 5. Hata wabunge wako lakini hawatajwi kwanini Kuna kitu hapa.

  ReplyDelete
 6. NI kweli mh. Raisi ni viongozi wetu ni wajomba zetu ni ndugu zetu, si ujinga wetu tu ndio unaotusumbua, sis black people,

  ReplyDelete

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger