SIX PACKS ZA DIAMOND ZAWAPAGAWISHA MABINTI WA KI KENYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wadada wa Kenya Wapagawa na Six Packs za Diamond alipokuwa akiogelea katika Bwawa Moja Huko Nairobi alipoenda week iliyopita ..Wadada wengi walio kuwa wakishuhudia tukio hilo la kuogelea la diamond na wacheza show wake walisikika wakisema No wonder Diamond is Getting Fine Girls wa Kibongo....Na wengine wakimsifia jinsi alivyoumbika
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nakuwaga siwaelewi wanaume wenye pozi za kike!! Ulalia mwanaume mwenzio hivyo hata haipendezi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wabongo hamkosi cha kusema

      Delete
    2. Sikusema kwa nia mbaya nimtazamo tu, and yes I love diamond so much! Leave me alone Ooo abeg

      Delete
  2. Kwa dimond gan na kwa six packs zip hzo za vidonge ngoja aache kupiga atakavyofura kala mavidonge ajae haraka viguuuu kama vya dem wake wema acheni kusifia ujinga mxiuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakuunga mkuno mkuu, kwanza mbona hatujaona hao wadada hapo kwenye picha wakishangilia hizo sijui six pack,

      Huo ni uongo mtupu na kwanza diamond hana six pack ,

      Bora wangetuandikia yanayojiri kule kwenye bunge la katiba na sio kutuletea upuuzi , pmf ...... sana....

      Delete
    2. Go on his Instagram page mtaona....

      Delete
  3. Mbona hatujaona hao wadada wa kenya hapo , hii story yakutengeneza tu, na sijui ni kwa maana gani!!! Upuuzi mtupu nyooooooo..................

    ReplyDelete
  4. wabongo mna wivu wa kisenge senge

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msenge mwenyewe na huyo dmond wako,

      Delete
  5. Dume zima linapozi ki kike kike, au ndio wale wale wanaopigiwa debe na obama mambo yao yale haradhani nini ........ pmbf......sana

    ReplyDelete
  6. SASA WABONGO HIVI LIPI LITAKUWA ZURI KWENU? KILA SIKU MNAPONDA TU , SASA SISI TUANDIKIWE STORY GANI MNAYOITAKA).
    NA HAYO MAWIVU MLIOKUWA NAYO MTALALA MILANGO WAZI. MWENZENU KILA KUKICHA ANAENDELEA NINYI KAZI ZENU KUPONDA TU. KAMA HAMOMPENDI KWA NINI MAKOMMENT MAMBO AMBAYO SIYO. WOTE MNAOMPONDA KUMAMAKO ZENU, MASIKINI WATUPU, MMEKULIA KARANGA ZA KUKAANGA NA UROJO, CHIPS DUME NI SIKU YA IDD TU MWENZENU ANAPETA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe unaonekana huna akili na huwezi kutafakari mambo, kwa mtazamo wako unaona kusifiwa na wanawake ndio mafanikio? Pmbf..... sana

      Delete
    2. Pumbavu kweli ww alokwambia chips dume zinaliwa siku ya iddnani labda ww nafamilia yako

      Delete
  7. Kwani wewe mafanikio ya Domo huyaoni? Kila siku anajenga mahekaru tena sehemu za galama, wa kati wewe hata choo hauna kumamako,,,,,,!!!! Acha wivu au unataka umsifie wewe? Mwenzako ana helaaaa kwa shoo analipwa 32m. Wewe kwa kijikazi chako unaingiza izo pesa kwa mda gani, kama hauna cha kuandika kaa kimya k?

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE MKUN.....DU TU, HUNA AKILI

      Delete
  8. Sifiwa basi na ww ujenge hayo mahekalu!!!

    ReplyDelete
  9. Kama ni Six Packs hata wasukuma mikokoteni wanazo. Hiyo sio deal.......Afadhali ungezungumzia talent, na kama ni kweli anayo talent ya kumlinganisha na wakali wengine.

    ReplyDelete
  10. Jaman stop hating,mwenzenu hapo amepiga show amekula mpunga wa haja,nyie mnabaki kupiga domo tu,mh polen sn nyie ndo hamjui mtakula nn next day kz kuongelea wenzenu,acheni hasira km mna maisha magum tafuten mbinu za kujikwamua km mwenzenu daimond! mpfyuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  11. Maskini eti dume zima lina mapoz ya kike,mxiuuuiuu,wewe ulitaka asimame mguu sawa hapo,??hovyo inaonekan hujui mapoz ya swimmin pool,wenzio wanaenjoy life,we umekalia tu mapoz ya kike,pole zako waache wenzio wale raha mpumbavu wewe,nyie ndio mnaosubiri xmass ndo muende kujifunza kuogelea beach.mxiuuuuuu ushamba tu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. hupati sifa yoyote kutukana kila unapocoment

      Delete
  12. Tatizo ni bei ya mkaa,,!!!!!!! Jamani hata mtukane vipi hamuwezi kuwa domo, domo ni domo na ninyi ni ninyi. Anauhulu wa kufanya kitu chochote mladi asivunje shelia ya nchi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kajifunze kiswaahili ndio uje kuandika humu ..... pmbf......sana

      Delete
    2. Anauhulu wa kufanya kitu chochote mladi asivunje shelia ya nchi!! LMFAO. Mdau 6:34AM hivi wewe ni mtanzania mwenzetu kweli???LOL

      Delete
  13. Mbona majaziba jamani tuelimikeni, kila mtu na maisha yake kumjadili mtu unapoteza muda wako. Lets share the life together and help each other life is a bitch. Wako john sadoki. Italy.

    ReplyDelete
  14. Kwa six pack ndo nn wadau? Nisaidien jaman

    ReplyDelete
  15. Xor, i waz just passn yet ma day z ruined!!

    ReplyDelete
  16. diamond sio high breed, anakamwili kadogo sana, hivyo hana mvuto kihivyo. ukomaaji wake hata wasukuma mikokoteni, wachimba mitaro, wanao, tofauti ni levo za kimaisha.
    hao wadada wanataka mkwanja na umaarufu tu, na sio \\msela''

    ReplyDelete

Top Post Ad