google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html ZITTO AUNGA MKONO SEREKALI TATU BAADA YA HUTUBA YA JAJI WARIOBA JANA | UDAKU SPECIAL

ZITTO AUNGA MKONO SEREKALI TATU BAADA YA HUTUBA YA JAJI WARIOBA JANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zitto ameonekana Kufurahishwa na ufafanuzi wa Jaji Warioba na hata Kupelekea kuwashawishi Wajumbe wenzake kwamba, hawana budi kujadili namna ya Kuuboresha zaidi muundo huo wa Serikali tatu badala ya kujadili Serikali mbili ambazo yeye mwenyewe amekiri kwamba hazitakuwa Suluhisho la Kero za muungano kupitia ukurasa wake wa facebook.

Hii imemtokea baada ya jana Kuusikiliza kwa makini ufafanuzi wa Jaji Warioba kuhusu muundo huo wa Serikali tatu, pia Kwa mujibu wa Maelezo ya Julius S. Mtatiro Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba amesema Idadi kubwa ya Wajumbe wa CCM, jana baada ya kutoka ndani Ukumbi wa Bunge, walionekana kuridhishwa na ufafanuzi wa hotuba ya Warioba huku wengine wakitamka wazi kuwa Serikali tatu ndio mpango mzima. 

Nawasilisha!

Chanzo: Zitto Kabwe's facebook page..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hamna lolote nyie ccm mlitaka kutuletea sera za maslahi ya chama chenu, imekula kwenu ss nyooooooooooooo

    ReplyDelete
  2. binafsi siungi mkono chochote cha ccm, lakini hili la serikali tatu linanitia mashaka, je tukipata maraisi watatu wote wakawa wanapenda kusafiri nje ya nchi itakuwaje? c utakuwa mzigo na gharama kubwa!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. watu wanakurupuka tu serikali tatu kama mbili ni mtiti why tatu haya tupelekeni mnavyotaka nyie tubuluzeni tu yetu macho na masikio kama vipi mi sioni sanaaaaaaa umuhimu wa muungano si kila mtu kwao au

      Delete
  3. Kwel ndg, ikawa wakapatikana kama huyu mjomba ambae analala airport kila juma, tumekwisha

    ReplyDelete
  4. Zito ukisema 2 mi nafata selikali 3 ndo sawa

    ReplyDelete
  5. zitto kichwa dafu....sasa yupo chama kipi????

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahaha hana chama kapoteza mwelekeo

      Delete
  6. Yuko cdm hawezi toka mpaka awe rais wa muungano...hata me naona 3 sawa ili twende znz na passport. .wengine wanazo hawana pa kwenda.

    ReplyDelete
  7. kwa taifa hili ambalo bado hatujajitambua baada ya kifo cha Mwl Nyerere, serikali tatu siziafiki, bado saaana kwakweli hatujajitambua, kwakweli mimi nadhani afadhali hata arudi mkoloni kututawala tena, ili atleast tunyooke tujue ninini maana ya kujitawala na ninini maana ya kuwa nchi moja yenye maslahi ya pamoja.

    ReplyDelete
  8. Tatizo wazanzbara wabish sana,wana raisi wao na hawataki muungano kwanin tulazmishe

    ReplyDelete
  9. kuna kitu ndo maana wabara wanang'ang'ania uvunjwe tu bora

    ReplyDelete
  10. yote sawa hata nne wakiweza

    ReplyDelete

Top Post Ad