AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Watanzania hao waliuawa na wengine kujeruhiwa katika moja ya mashambulizi pacha yaliyotokea kwa wakati mmoja jijini Dar es salaam na Nairobi, Kenya na ambayo yaliratibiwa na Osama Bin Laden akitumia mtandao wa kundi la Al Qaeda mwaka 1998 kwenye ofisi za balozi za Marekani.
Katika mashambulizi hayo yaliyotokea saa 4:00 asubuhi Agosti 7, 1998, Wakenya 200, Watanzania 10 na Wamarekani 12 walipoteza maisha na pia magaidi wawili nao walikufa.
Kati ya Watanzania 10, ni kesi za watu wanne tu waliouawa tu zilizofunguliwa kudai fidia ya watu hao kupoteza maisha.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hata kama wangetoa mabilion zaidi ya hayo, bado thamani ya uhai wa binadamu huwez kufanisha na gharama ya chochote kile hapa duniani,
ReplyDeletetoka 98 mpaka leo wengine waliokufa watalipwaje lol
DeleteWalikuwa wanaangalia mafanikio na muitikio baada ya hao kutolewa sadaka.
ReplyDeletewengi waliamini Osama ingawa ulinzi wa balozi hizi ulivyo juu.
Akili kich..