Demu Mwingine wa Kitanzania Afariki Kwa hii Biashara Nchini India

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ikiwa bado serikali inajipanga kupunguza human trafficking, huko nje mambo yanaendelea kuwa mabaya kwani mtanzania wa pili amefariki. Wa kwanza alifariki huko China na huyu wa pili anefariki nchini India katika jiji la New delhi. Mrembo huyo anaeishi tabata anaeitwa Neema Katabwa aliamua kwenda india kujitaftia maisha na baada ya kufika nchini India ndio akaanza biashara hiyo ya ukahaba mpaka pale alipokutana na mnigeria anaeitwa Akuba na kuamua kumuweka ndani.

Neema aliamua kukaa na Mnigeria huyo mpaka pale mauti yalipomkuta kwani source inasema mnigeria huyo hakujua kama Neema bado aliendelea na kazi yake ya ukahaba mpaka pale alipomkuta na ndio matatizo yalipotokea.Inasemekana  mnigeria huyo alimpiga sana mpaka hali yake kuwa mbaya na kuweza kukimbizwa hospitali mpaka mauti kumkuta. Kwa sasa ameletwa nchini kwa ajili ya mazishi lakini source inasema kuna rafiki yake anaeitwa Mercy anajua exactly kilichomkuta Neema huko New Delhi.

Kwa kweli hili sula la dada zetu kufanya biashara haramu limezidi kukithiri kila tukiamka na wanaopeleka dada zetu huko wanajulikana kwani huwa wanawapeleka kwa mkopo na mtu anahitajika kufanya biashara hiyo mpaka alipe deni la dola 35000 au hapewi passport yake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya ni majungu toa taarifa!!!

    ReplyDelete
  2. Bahati mbaya kina Dada na kwa wale waliopatikana katima mazingira kama hayo na mama zao basi endelezeni urisi

    ReplyDelete
  3. Wewe Anonymous hapo juu umeandika utumbo gani? unauhakika gani kama mama yako hakuchepuka?

    ReplyDelete
  4. Nyote mafara

    ReplyDelete
  5. sasa wazazi wanaingiaje kwenye mada.kuweni na adabu asee

    ReplyDelete

Top Post Ad