Endless Fame Films Watoa kauli Kuhusiana na Ugomvi wa Wema na Kajala

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kampuni ya filamu ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, leo imetoa kauli yake kuhusiana na ugomvi wa mmiliki wa kampuni hiyo na aliyekuwa rafiki yake wa karibu Kajala Masanja.

Maneja wa kampuni hiyo, Martin Kadinda ametoa msimamo huo kupitia mtandao wa Instagram.
“Good morning all of You…. I just woke up Like “Hasiraless” kwakuwa hili vugu vugu la kutokuwa na maelewano mazuri kati ya Wema sepetu (myclient) na Kajala limekuzwa katika social networks basi na mimi naomba nitoe taarifa kutoka kwetu endless fame.

Katika urafiki kuna mengi yanajitokeza na endapo kutakuwa na hitilafu sehemu basi ni muhimu kupeana nafasi ili kila mtu aweze kujirekebisha na mwisho wa siku maisha yaendelee hilo ndo lililotokea baina ya hawa wawili. Lakini katika kipindi hicho cha so called mapumziko kuna mambo mengi yamejitokeza, yapo ya kweli na yapo yaliyotengenezwa na baadhi ya watu, kuna media coverage juu ya hawa wawili na wema sikumpa nafasi ya kuzungumza na chombo chochote cha habari kwakuwa nilijua litakuzwa zaidi… ila tulipoona shutuma zinazidi kuja upande wake akafanya interview na gazeti moja na kuelezea upande wake na mwisho alisema hana tatizo na kajala sema tu Kwa sasa anahitaji space…… tukawa tumefunga mjadala huo.

Endless fame(wema sepetu) haijawahi kutamka lolote swala la mahusiano ya kajala na mtu yoyote, EndlessFame haijawahi kudoubt urafiki wa kajala na any of her friends because tunaamini yale ni maisha yake binafsi na hayahusiani na kampuni ya wema au wema mwenyewe, kusaidiana katika matatizo haimaanishi tunammiliki… hapana hapana… Hili linaloendelea sasa sisi pia tumelisikia na kuliona kwenye social networks kama watu wengine wanavyoona.

Tunaumizwa na blogs na magazeti yanapoandika stori kama vile wanaushahidi kutoka endless fame au Kwa mtu wa karibu na wema. Team wema wote waliopo insta sijawahi kuona hata mmoja kati yao hivyo hakuna anayewatuma wala kuwashinikiza ila wao wanafanya kile kinachowapendeza and hatuwezi kuwakataza kwasababu ni maisha yao binafsi na ni mapenzi yao ya dhati Kwa wema.

Poleni Kwa wote mnaoumizwa na haya yanayoendelea ila nadhani tukazane na kazi zetu na maisha yetu maana haya ya instagram tuwaache huku huku ukiyasikiliza utashindwa kumwamini mama yako mzazi.”

Hivi karibuni Kajala alisema kutokana na jinsi ambavyo ugomvi wake na Wema Sepetu ulivyokuwa mkubwa, amefikia hatua anaigopa simu yake zaidi ya kupiga na kupokea.

Akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV wiki hii, Kajala alisema amekuwa akiumizwa na jinsi anavyotukanwa kwenye mitandao ya kijamii kutokana na ugomvi huo. Kajala amesema ugomvi wake na Wema haujatokana na kile kinachodaiwa kuwa alimchukulia ‘bwana yake’ na kwamba umetokana na vitu vidogo ambavyo ni binafsi kwao. Alidai kuwa pamoja na ugomvi wao kusababisha na mambo ya kawaida, umekuzwa mno na watu pamoja na vyombo vya habari kiasi cha kuwafanya wajikute maaudui kweli.

Kuhusiana na tetesi kuwa alianza kumdharau Wema baada ya Miss Tanzania huyo wa zamani kuishiwa fedha, Kajala amesema amekuwa rafiki yake tangia enzi hana chochote. “Alikuwa rafiki yangu kabla hana kitu, kwahiyo kwamba nilianzisha urafiki na Wema kwasababu alikuwa na hela lakini sasa hivi hana hela mimi sio rafiki yangu tena, sio kweli,” alisema.

Kajala alikiri kuwa kukosana kwake na Wema kumeathiri maisha yake. “Inaniathiri sana kwasababu ni mtu ambaye nimemzoea, mtu ambaye tumefanya vitu vingi kwahiyo sometimes nikikaa nammiss,” alisema na kueleza kuwa ameshawahi kumtaka Wema wamalize ugomvi wao lakini ilishindikana japo alisema kwakuwa ugomvi ni wao wenyewe, ipo siku utaisha na watakuwa marafiki tena.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi wewe Adm hakuna issues nyingiine ? to much. WEMA ..KAJALA WEMA ....KAJALA Unachosha lets mambo mengne

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwan umelazimishwa kusoma

      Delete
  2. kajala ni malaya tena mnafiki mkubwa!

    ReplyDelete
  3. Martin kadinda shoga.. Lile senge

    ReplyDelete
  4. shame on u kajala umemkosea wama huna shukran hata kidogo

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio kwa ajili ya msaada ila unafiki atufagilii.amuwache madam apumzike

      Delete
  5. na ile tatoo uliyojichora ya kinafki ifute shwain wewe

    ReplyDelete
  6. tumechoka na stori hiyohiyo kila cku hee haya mambo cjui yataisha lini hadi tukaja kusahau mwee kajala pole mammy mi nahis unajuta hata kutolewa huko jela!!!! jaman watz kajala naye ana moyo wa nyama na s wa jiwe jaman hee inatosha bac inatosha muacheni afanye yake hee!!!!

    ReplyDelete
  7. tumechoka na stori hiyohiyo kila cku hee haya mambo cjui yataisha lini hadi tukaja kusahau mwee kajala pole mammy mi nahis unajuta hata kutolewa huko jela!!!! jaman watz kajala naye ana moyo wa nyama na s wa jiwe jaman hee inatosha bac inatosha muacheni afanye yake hee!!!!

    ReplyDelete
  8. Usjali kajala m.mungu akutie nguvu nitafute mi nitakua rafiki yako, kukosana kwenu kusikufanye kujutia mpaka kumkufuru allah kumbuka hayani mapito tuuuu, kua na amani.

    ReplyDelete
  9. Chezea CK wewe wapi CLEMENTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTTT BABA LAO CHEZEA KIGOGO WA IKULU WEWE

    ReplyDelete
  10. sikilizeni nyie mbululaz,CK hafanyi kazi IKULU , IKULU hakuna watu wasiojitambua na kujiheshimu,huyu jamaa ni kama gari la maji taka linafyonza maji ya vyanzo vyoteee,huyu jamaa alikua mfanya kazi wa postal bank alifukuzwa kitambooo sana na akaamua kufungua biashara zake posta ana maduka 2 na zamani ndio alikua na pesa lakini siku hizi kajamba nani na ndio maana hata alishindwa kumnunulia Naima simu,simu ya laki 2 ama 3 kigogo ashindwe??! sasa hivi anawekwa mjini na mke wake kwa sababu anapumulia mashine

    ReplyDelete
  11. Kajala mlambe matako wema ili ajue unathamini fadhila zake, maana yeye na timu yako wanachonga sana juu yako kama vile ulimuomba akusaidie.

    ReplyDelete
  12. Naww kuma sana hapo juu nani anaweza kumtolea m 13 ya fasta hata majani mwenyewe kazaanaye hakumtolea kama wema anataka kutukuzwa basi mwambieni k maharage ya mbeya maji mara moja anayejifanya hodari kubeba mababy wa wenzie nakama ananyota kama ya wema amwambie ck ahonge magereza akamtoe mmewe tena linalaana ya mmewe yaani silipendi.

    ReplyDelete
  13. wewe hapo juu nadhan hukuzaliwa na mwanamke wewe labda ulipandikizwa kwenye chupa!!!!!!! laana iwe juu yako wewe uliyetukana

    ReplyDelete
  14. Laana unaijua ww mshenzi ww na kajala mikuma yenu hapa matusi kwenda mbele usinge soma wala laana usingekuwa nayo ss na ww ulaaniwe kizazi chako chote na cha kajala tena kwa hili anamfundisha mwanaye baby yoyote wa lafiki yako akikutokea ww kubali jifunze sema no?

    ReplyDelete
  15. ukiambiwa unalaana eti "laana unaijua wewe"kwani huyo kajala ni wa kwanza kutembea na bwana wa rafiki yake yani hicho kiungo mungu alifanya makosa kukiweka hapa chini yani matusi yote ya kutukana hujayaona unalopoka tu kama vile mwenda wazimu hee ndomana nasema wewe huenda hukuzaliwa na mwanamke!!!!shame on you!!!!

    ReplyDelete
  16. wema mke wangu domo mchumba wangu da wema mtamu sana kuma mayo

    ReplyDelete

Top Post Ad