Dotnata 'Nachukizwa na Watu Wenye Kasumba ya Kumsema Vibaya Mwigizaji Wema Sepetu ‘Beutiful Onyinye’, Waache.'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MJASIRIAMALI na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ ameibuka na kusema anachukizwa na watu wenye kasumba ya kumsema vibaya mwigizaji Wema Sepetu ‘Beutiful Onyinye’, waache.

Akipiga stori na paparazi wetu Dotnata alisema anakerwa sana na watu wanaokuwa na chuki na mwigizaji huyo ambaye yeye anamchukulia kama lulu katika tasnia ya uigizaji.

“Siwapendi wanaomchukia Wema ambaye mimi huwa namuona kama nyota katika sanaa, wamuache mtoto wa watu afanye kazi zake, si watafute kazi za kufanya kuliko kumuongelea mabaya,” alisema Dotnata pasipo kuwataja majina watu hao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. mpumbavu tu na yeyee..

  ReplyDelete
 2. mpumbafu ni wewe na demu wako

  ReplyDelete
 3. Ahsante dotnata maana watu wameshindwa kufanya yao kazi kumuweka mtoto wa watu tu midomoni tukianza kuchunguzana wao ndio watakuwa na Tabia chafu kuliko ht wema mumuache mtoto wa mwanamke mwenzenu ht yy anawazazi wake semeni na yenu basi tuyajue unaponyoosha kidole kwa mwenzio vipo vinavyoelekea na kwako pia tujichunguze na sie kabla hatujasema ya mtoto wa Mzee sepetu

  ReplyDelete
 4. bora at umewambia kiukwl wanaboa cjui aga hwn kaz z kufnya? dah!'

  ReplyDelete
 5. wema anawasumbua sana hakiri zao ndiyo kwikwi kwa mjin bogo ndo maana wapo buzty kumsema lkn yy yupo buzy na maisha yake hana habari nao watadek bahari...

  ReplyDelete
 6. Ningekuona wa maana kama ungemuongoza wema kwenye mstari ambao wewe unaenda.wema abadilike kitabia,anapendwa sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. Una akila sana me ningemuona wamaana dotnata km angesema anataka kukaa na wema na kumuoongoza ktk mstari sahihi kuliko hayo anayosema hivi kuna mtu anamsema wema kwa ubaya mfanye abadilike wema na si kuongea hayo we ni mtu mzima jiulize kwnn awe wema tu na asiwe riyama au batuli km ni wivu basi angeonewa batuli maana bongo move yote yy ndiyo mzuri una la kusema tena usitafute matusi we ni mtu mzima

   Delete
 7. Anatafuta tu watu waongeeee...msokua na kaz za kufanya ndo mnakaa chin na kuanza kuumiza kichwa kujua wema kafanya nn..wanaojielewa na kujitambua hawafanyi ishu za kipuuzii kama izo...wotEe mnaompa wema sifa za kijingaa kojoen mkalalee

  ReplyDelete
 8. Matako yako ww dotnata wema ana u lulu gn wa kuigiza?? unatafuta pa kutokea tu baada ya kuona huna jipya

  ReplyDelete
 9. Umepatwa na nini Dotnata?kweli huoni Wema anavyoikosea jamii?
  Umetuboa sisi mashabiki wako.

  ReplyDelete
 10. Dotnata huo ni unafiki,na Mungu hapendi unafiki,kama una Mungu wa kweli ungetumia maneno mengine ya hekima kumrudisha wema kwenye njia sahihi.kila mtu ana mapungufu na tunarekebishana kwa kukosoana,Wema ana mengi mazuri kama wengine sasa jiulize kwa nini Wema tu asemwe vibaya?

  ReplyDelete
 11. Ni kweli wako waliokuwa marafiki na wema ambao hata wewe unawajua, lakini walipogombana tu wazazi wao waliwaambia hawataki tena kuona wanakuwa karibu na wema,na kama urafiki uwe wa kawaida tu,jiulize, unadhani ni kwa nini?Wema ni wetu na ni staa mkubwa,hatupendi kumuona anafanya visivyo.

  ReplyDelete
 12. Dada unataka kutukanwa?

  ReplyDelete
 13. Hata wewe unajipendekeza kwa Wema?

  ReplyDelete
 14. Jamani shangazi Dotnana ulimi uliteleza,msimshambulie tena,
  hafai kushambuliwa,huyu mama ni mfano wa kuigwa.ni mwanamke bora,ni mwema.acheni tafadhali.

  ReplyDelete
 15. alichosema dotnata ni sahihi kabisa kumkosoa mtu ni jambo jema sana lakini si matusi, mnapomtukana wema nyie unaotukana ndo wenye tabia mbaya na yawapasa mbadilike kwa kweli.

  Kila siku wema wema mbona hamuwasakami wanaojiuza mabarabarani na wanaowanunua hao wanaojiuza

  Nahisi wema ana kitu amewadizidi baadhi ya watu ndo maana mnamsakama. Huwezi kumwita mwenzio malaya na kadhalika hali ya kuwa wewe mwenyewe umekubuhu na si kazi wote mnao msema wema vibaya mngedhihirishiwa matendo yenu hadhani huenda wema angekuwa miongoni mwa waja wema kama jina lake

  ReplyDelete
 16. Dotnata Si amefungua kanisa? Angemwita Wema afanyie deliverance atoke kwenye maroho alionao!!' sikutoa maneno kwa waandishi!!!!! Kama yeye alivyotolewa mapepo na TB JOSHUA!

  ReplyDelete
 17. kweli Wema ni star nahisi atakuwa ni freemason. ananyota ya ajabu. kila siku wema, wema. ndio mana wanamuonea wivu Bongo move wako kibawo watenda maovu. wema. wema wakuache ulale

  ReplyDelete
 18. hamuwezu kuingoa nyota ya wema ile ni from god given na yule atakuwa staa hadi atakapokufa,nyie hamjui aina za binadamu watu hao wachache duniani,

  ReplyDelete

Top Post Ad