google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Jina la Diamond Laandikwa Kwenye Hollywood Walk of Fame | UDAKU SPECIAL

Jina la Diamond Laandikwa Kwenye Hollywood Walk of Fame

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Diamond yupo jijini Los Angeles Kuhudhuria utoaji wa tuzo za BET jpil trh 29..na moja ya kitu ambacho itakua ni arama na kumbukumbu kubwa kwake,ni jinalake kuandikwa kwenye sakafu ya HOLLYWOOD WAKE OF FAME ambapo anakuwa mtanzania wa kwanza katika historia pale huandikwa majina ya watu maarufu/mashuhuri duniani kama heshima..mmoja ya mastaa ambao majina yao yameandikwa pale ni bruce wills,michael jackson ,JBieber na wengine wengi..Hongera My big boss,ni heshima kwako na sisi pia ..na Mungu ajalie kesho ushinde.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chama cha wavaa suti.nenda dogo

    ReplyDelete
  2. Uongo mtupu chizi nyie

    ReplyDelete
  3. There difference between Hollywood walk of fame and BET recognition. Lol

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mimi nawashangaa Waandishi kwa kukuza mambo hollywood walk of fame na bet recognition ni vitu viwili tofauti hebu someni kwanza kbl kupublicize mambo kha!!

      Delete
  4. Watu bana uthibitisho gani mnataka???kusoma hujui hata hyo picha huoni???Kama mnataka uthibitisho nendeni LA mkaone

    ReplyDelete
    Replies
    1. Imeandikwa nominee na sio walk of fame ndio maana jamaa akataka uthibitisho

      Delete
    2. Imeandikwa nominee na sio walk of fame ndio maana jamaa akataka uthibitisho

      Delete
  5. The genesis of that star is Baphomet... Diamond is slowly being pulled in illuminati way... U gotta be careful!...

    ReplyDelete
  6. kuma la mamaako mdau hapo ju diamond anamtomba mam ake kila wik

    ReplyDelete
    Replies
    1. Matusi ya nini...Umemkaa Diamond mdomoni kama anakujua vile. Shut the fuck up

      Delete
    2. coment kitu ambacho unauhakika nacho unless otherwise usicoment

      Delete
  7. kuma ww sht up you you sex and you mother fokn u tell me u fukn nam" fukn u ever dy mother fukn u.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha hata English inakushinda mfyuuuu

      Delete
  8. Diamond sorry tafuta dress designer mwengine kwa sababu weye level yako sasa ivi kwa taz you are number one unakapo toka kula mtuu anakutizama kwanza vipi mavazi yako vipi action zako yite hayo ni personality yako sorry suite ulio vaa last time kama umeazima kwa mtoto wa jirani suite ilikutowa kwenye nyimbo yako weye na nay yes pale ulikuwa Diamond

    ReplyDelete
  9. excuse me gimme a break n stop wid ur stupid lies, u can fool some people some tym but u cant fool people all da tym. dats written nominee. lets cal a spade a spade not a spoon. mcheeeeeeeew

    ReplyDelete
  10. illuminut is there mdau umenena na mtamsikia tuu soon mnazani nan ambae hapendi kufika huko alikofika diamond.....lkn mashart yake ni makubwa ndo mana wengne hawafiki huko.

    ReplyDelete
  11. Ya kanumba hayoooo

    ReplyDelete
  12. ivi mnalipwa sh ngapi kwa domo?

    ReplyDelete
  13. sema hakuna sehemu ya kutag picha. Hollywood walk of fame ni moja ya kivutio kikubwa sana marekani na inabeba majina ya watu maarufu duniani kama michael jackson, charle champlin, elton joh na wengineo. hao BET wameiga hiyo styile kuwatambulisha washiriki wao kila mwaka sasa kuna tofauti kubwa sana. ndio maana hizi bolgs hamuezi kua international coz mnaandika vitu hamna uhakika. tunawaombea entertainer wetu bongo wafike mbali lakini si kwa kudanganya fans bali kwa kuwasaport wasannii/wanamichezo husika. blogers kuweni smarts coz ukweli hauzami. fanyeni juhudi kupost habari zenye mashiko na zenye ukweli kwa muda mrefu mtapata followers wengi. ila mkiwa mnaandika uongo mtakua watu wa kubezwa tu.

    ReplyDelete
  14. hate it or love it he is STAR

    ReplyDelete
  15. mtasubiri sana kwa domo ,! kawaacha sana

    ReplyDelete

Top Post Ad