google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html DIAMOND PLATNUMZ...Has Really Changed This Game na Anastahili HESHIMA Kama Balozi...HATE IT OR LOVE IT | UDAKU SPECIAL

DIAMOND PLATNUMZ...Has Really Changed This Game na Anastahili HESHIMA Kama Balozi...HATE IT OR LOVE IT

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TUMHESHIMU HUYU MTU:NALETA HOJA TASHTITI ALFAJIRI NA.MAPEMA
Nazidi kuchimba na najiuliza tu maswali...Walisema anatumia Ndumba...Je,Ndumba inavuka bahari??
TUTAZAME HISTORIA KIDOGO
MWAKA 2011 tuzo ya BET ya African Act ilitua mikononi mwa D"BANJ na 2FACE IDIBIA(Shared) wakiwa wameshindana na wakali wafuatao:
1.ANGELIQUE KIDJO-Mnaojua Muziki huyu amewahi kuwa GRAMMY WINNER...lakini HAKUCHUKUA!
2.FALLY IPUPA-HAKUCHUKUA
3.TEARGAS kutoka SA-HAWAKUCHUKUA
4.D"BLACK-Ghana-HAKUCHUKUA
Mwaka 2012 tuzo ikaenda kwa watu wawili tena,WIZKID na SARKODIE na waliofeli kuchukua ni CAMP MULLA(Kenya),2FACE IDIBIA,ICE PRINCE ZAMANI(Nigeria),LIRA(SA), na MOKOBE(Mali)
Mwaka 2013 tuzo ikaenda kwa ICE PRINCE ZAMANI(wengi wetu hata hatumjui kudadeki),ikiwa ni his SECOND NOMINATION, 2YEARS IN A ROW,na alishindanishwa na vichwa kama 2FACE IDIBIA(Nigeria),TOYA DELAZY na DONALD(SA),R2BEES(Ghana) na RADIO AND WEASAL(Uganda)
Mwaka huu,DIAMOND ameshindanishwa na vichwa kama MAFIKIZOLO(SA) ambao ni washindi wa Tuzo 8 kwenye SAMA mwaka huu na wamepafomu live BET mwaka huu,SARKODIE(Ghana) ambaye ameshashinda BET mwaka juzi ila MWAKA HUU KAFELI...TIWA SAVAGE(Nigeria) na DAVIDO ambaye ni mara ya kwanza kuwa nominated na AMESHINDA
Kama SARKODIE,Rapa maarufu afrika nzima,na mshindi waTuzo hii ya BET mwaka 2012 alongside WIZKID AMEFELI na amekubali kushindwa SISI NI NANI???
HEBU IMAGINE...
No PSQUARE hata kwenye kushiriki
No IYANYA hata kwenye kushiriki
No WIZKID(Winner 2012) hata kushiriki
No JOSE CHAMELIONE mkongweeee
No DON JAZZY(kama humjui Google)
No DBANJ...Jamani!
DIAMOND...has really changed this game na anastahili HESHIMA kama Balozi...HATE IT OR LOVE IT...Tuzo hii SI RAHISI kuipata maana hata hao MAGWIJI wa Muziki huu WANAFELI PIA sembuse DIAMOND ambaye hii ni 1st time Nomination??Ice Prince alikosa 2012 akaichukua 2013...Diamond also CAN!
Naruhusu Hoja kama bado kuna mamluki wanaobwabwaja bila hoja..ASANTE!
-Seth
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amejaribishwa na Davido......kama.angeweza Tunzo angeshukua yeye......Bweha mkubwa ww.....mtu kashindwa unasema kaweza .....kaweza nn

    ReplyDelete
    Replies
    1. We Mavi 2 Unafkr Mashndano Ni Matako Kla M2 Anayo,acha Roho Mbaya Choko We

      Delete
    2. tatizo unachuki binafsi dogo, but ukweli utabaki pale pale kuwa hatua aliyonayo diomond ni kitu kingine kabisa na amepiga hatua kubwa kimziki, hivi kwa nini huwa hatutaki kukubali na tuache chuki binafsi

      Delete
  2. achen roho mbaya kwa stage alifikia daimond inaleta matumai....kama anatumia ndumba kama analala na mamaake ni maisha aliochaguaaaa achen kumsanif vibaya..na nyie tomben mamazenuuu tuone mtafikia api

    ReplyDelete
  3. Asiekubali kushindwa sio mshndani kubalinitu kuwa kajitahidi chuki za nn binaadam tupendane na tusiwe wakukatishana tamaa mungu atusaidia.uckate tamaa Allah yupo na ww achana na waja wasanii wakibongo hawapendanagii pendanane mungu atawasaidia chuki hazi jengiii

    ReplyDelete
  4. Kabebwa na Davido

    ReplyDelete
  5. Na wewe mtafute wa kukubeba mfyuuuuuu.

    ReplyDelete
  6. KIUKWEL KATSHA JAMAN
    NI SHIDAAAA...

    ReplyDelete
  7. Nawewe mfate davido akubebe Kama unaona laic kubebwa, au unafikilia kubebwa Ni kaz ndogo? Lukundu ako

    ReplyDelete
  8. Watu wanaroho za kwa nini kapata . Namungu ata msaidia tu diamond ata kama mnasema kaloga au kafanyaje Sijui.... but all in all kajitaidi apo kuitangaza tz. Mtajiju na miroho ya korosho yenu..!!! Na tunampenda platnumz kalogeni na nyie mtoke tuone..

    ReplyDelete
  9. Dah yani inasikitisha. Sana binaadamu kumueKea kinyongo mshalkaji katoka mbali mungu akitaka kukupa hakuandikii barua. Akishakukunyoshea kidole atamfanye nini. Ndo keshamchakuwa.

    ReplyDelete
  10. huyu dadaenu sijui anawalipa sh ngapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unachuki mtoto hivi hapo ukikabidhiwa mikoba ya uchawi huwezi kuwa mchawi kweli?!

      Delete
  11. Tatizi la wabongo hasa wana muziki wengi hawapendani kabisa,utakuta mwanamuziki hana hata anachoimba lakini ndio wa kwanza kumdis mtu kama diamond!mimi nilidhani wengi wao wangefurahia sana kwa kuchaguliwa kuwakilisha bongo cos hapo unakuwa na wewe una jua kuwa hata mimi nikikaza buti inawezekana kabisa!diamond anakuwa amekutia moyo wa kuwa hata wewe unaweza pia!sasa hapo wabongo fleva wengine wanavuta midomo kumchukia mtu bila sababu kisa maendeleo jiulize ungekuwa wewe ungependa uchukiwe hivyo?!msanii kama Ney wa mitego ana mdis mtu ka profesa J ambae ndio mtu hapa bobgo ameweza kuweka muziki wa bongo fleva ukakubalika na watu wa rika lote wazee kwa vikongwe leo yule ney abamdis na wakati huyo ney hajulikani anaimba nini!wabongo tuache chuki kama mtu kafanya vizuri mpeni credit yake jaman!kwa chuki hizi mtalala sana kwa waganga mbwa nyie na kutoka hamtato,kama musiki ni uchawi basi sumbawanga wangekuwa kila mwaka wanashinda bongo star search...!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni kweli mdau, hapa admini kuweka reply umenifurahisha ila ungeweka na like buc

      Delete
  12. watalia sana mimi staki kutia neno lkn big up mr diamond plutinumz babaaa laoooooooooooooooo...mambwa ya kitanzania hayana mana ..eti unalala na mama ako hakir fupi..eti umebebwaa na wao bas wakabebwee na hao ambao wanaona watawafikisha ulipo mxuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  13. wacha kufanya watu mabwenga ati he has changed da game is he da first tanzanian artist to mek it in bet award. kaa ukimsifia tu kaa walipwa instead of being productive tafuta umbea za urongo na ukweli taking alot of tym trying to prove ati diamond is a star. action speaks louder dan words. so twaona wat his doing n stop making a hill into a mountain.

    ReplyDelete
  14. Mimi siwaelewi kabisa nyie mashabiki wa domo ivi mnataka kuwalazimisha watanzania wote wamshabikie dimo au nini? maana naona mnahariiiiiiiisha hapa kila mtu anamapenzi yake kwa msanii anae mtaka kumanina zenu,, eti wivu, hakuna cha wivu hapa timu ya taifa ipo moja tu na ndo maana wote huwa tunaishabikia ila wasanii wapo wengi na kila msanii ana mashabiki wake

    ReplyDelete
  15. Ila we apo juu unachekesha kama umpendi dai why unamfatilia sanaaaaaa kama umpendi ata jina usimtaje basi

    ReplyDelete
  16. kuma kweli nyie,,jay dee mwenyewe ajawahi kuwa dominated,,kaonana na kila beyonce face to face sio nyie mtaishia kufunga mbwa na kuwalisha,HONGERA DIAOMOND kila mtu ananjia za kupita kifuka somewhere..hamna mtu anaweza kwenda kokote mwenyewe.

    ReplyDelete
  17. amepigwa chini tu aache kujitetea,, kuma huyo

    ReplyDelete
  18. wewe nana juniour wapenda sana matusi ur primitive dats why if u wea learned usingekua wabonga hivo wapenda mtetea wema and diamond as if ur paid grow up n look for something to do mcheeeeeeeeew shame on u illitrate

    ReplyDelete
  19. so wat akionana na beyonce face to face,?kwanza ww nana wapenda matusi kweli, alafu ur shallow minded kwani ndio antoa collabo nae? ama wamepiga picha si makosa yako ujinga unkukola

    ReplyDelete
  20. kweli mdau huyu nana junir apenda matusi sana sujui kaa yuwalipwa na diamond na wema manake huwatetea sana

    ReplyDelete
  21. acheni chuki binafsi

    ReplyDelete

Top Post Ad