Hii ni listi mpya ya Forbes ya most powerful celebrities na pesa walizoingiza kwa mwaka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Forbes mtandao unaoaminika kwa kutoa list mbalimbali za uhakika hivi sasa wametoa list ya most powerful celebrities pamoja na pesa walizoingiza tangu June 2013 hadi June 2014.
Beyonce amefanikiwa kunaa namba moja akimuacha mume wake nafasi tano nyuma ambaye yupo namba 6. Top 10 ina watu maarufu kama LeBron James,Oprah,Rihanna,Jay Z,Katy Perry na wengine,
Hii ndiyo list ya top 10 na pesa walizoingiza kwa muda wa miezi 12
1) Beyonce: $115million
2)LeBron James – $72million
3)Dr. Dre – $620million
4)Oprah Winfrey- $82million
5) Ellen DeGeneres – $70million
6)Jay Z – $60million
7)Floyd Mayweather- $105million
8)Rihanna – $48million
9)Katy Perry- $40million
10)Robert Downey Jnr – $75million.
Note : Hii ni list ya most powerful celebrities na sio most richest celebrities.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mnatuacha nyuma jmn asa most powerful and nat rechest mkimaanisha nn

    ReplyDelete
  2. Mmh dr dre nadhan mmekosea.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dr. Dre kapata deal la kuuza headphones ndio maana kaweza kuingia katika list.

      Delete

Top Post Ad