Jibu la Amber Baada ya Kanye West kusema alibidi aoge mara 30 ili kuwa na Kim Kardashian baada ya kuwa na Amber Rose.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwenye mahojiano na kipindi cha ‘BreakFast Club’ Kanye West alimkejeli mpenzi wake wa zamani Amber Rose kwa kusema alibidi aoge mara 30 baada ya kuwa naye ili Kim kardashian awe naye.

Kanye West alisema “Kim k angekubali kuwa na mimi kabla ya Amber basi nisinge kuwa na Amber Kabisa, ni ngumu kwa mwanamke kuwa na mwanaume aliyewahi kuwa na mahusiano na Amber, nilibidi nioge mara 30 ili Kim K anikubali”.

Amber amejibu kupitia twitter yake nakusema …


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kanye anachekesha huo ugomvi angewaachia hao wanawake yeye kauingilia wa nini?

    ReplyDelete
  2. Kanye Mshamba tu.

    ReplyDelete
  3. Aliulizwa hilo swali kwenye interview ndiyo akajibu hivyo na huyo Amber amechukia kuambiwa kuwa kama angemdate kim Amber asingekuwepo which it is true he didn't mean to hurt her it is the way he answered the Question???

    ReplyDelete
  4. kanye hajielewi, amber kumbe anajielewa

    ReplyDelete

Top Post Ad