Mashine Inayomsaidia Kupumua Mtoto wa Whitney Houston Bobby Kristina

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Imeripotiwa kuwa mashine inayomsaidia kupumua mtoto wa Whitney Houston Bobby Kristina imezimwa,hataihvyo madai hayo yamekanwa na familia yake.


Bobby Kristina amekuwa katika koma ya kimatibabu tangu apatikane nyumbani kwake akiwa uso wake upo ndani ya maji nkatika beseni la kuogea na asiye na fahamu.
Babaake Bobby Brown anadaiwa kuwa katika hospitali hiyo ya Emory University ambapo mwanawe anapata matibabu pamoja na watu wa karibu wa familia.
Imeripotiwa katika Gazeti la Mail online kwamba mashine inayomsaidia kupumua ilizimwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ,lakini familia yake imekana hilo na kusema bado msichana huyo yuko hai.
Bobby brown amesema kuwa anamuombea mwanawe na alipoulizwa alikuwa anaendeleaje, alijibu kusema kwamba yuko vyema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyooo mmengojea BBC wametranslate na nyie ndo mmetuma, mbona juzi mlshibdwa kutuma kwa kiswahili, shetwani. Rudi shule panya road nyie.

    ReplyDelete
  2. Nyooo mmengojea BBC wametranslate na nyie ndo mmetuma, mbona juzi mlshibdwa kutuma kwa kiswahili, shetwani. Rudi shule panya road nyie.

    ReplyDelete
  3. We km ulichek BBC humu umefuata nn km c kuja kuchek umbea leo wameweka nn? mbeya mkubwa fyuuuuuuuu

    ReplyDelete
  4. We km ulichek BBC humu umefuata nn km c kuja kuchek umbea leo wameweka nn? mbeya mkubwa fyuuuuuuuu

    ReplyDelete
  5. SIO UMBEA NI UKWELI HUO!!!

    ReplyDelete
  6. That's a great position you folks have been carrying out there.Houston Chronicle News

    ReplyDelete

Top Post Ad