Nimetembea Kimapenzi na Dada Yangu wa Damu Nikampa Mimba na Kuzaa Mapacha..Muda wa Kuoa Mimi Umefika Dada Hataki Nioe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Marafiki habari za kuhaingaika
Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa kutoka nje kabisa labda shule tu na tulienda na Gari la nyumbani
Tulikua tukiishi mkoani na ilikua ni mwishoni mwa miaka ya tisini

Tukiwa form six, nadhan tulikua tumefunga shule tukiwa home, Dada yangu aliletewa mkanda Wa kikubwa na Rafiki yake baada ya Rafiki kuondoka tukawa tunauangalia sielewi ni nini kilitupata tukajikuta tumezini, mm kwangu ilikua ni Mara ya kwanza ila nadhan mwenzangu alikua tayari keshafanya huko nyuma

Ikawa kila siku tunafanya wazazi wakiondoka
Kuja kustuka haoni siku zake akamwambia mama naye akamwambia baba
Sijui niwaeleza lugha gani muweze kuelewa kilichotokea
Ilikua ni mtiti akaambiwa aeleze ni nani aliempa mimba akawa anasingizia wanafunzi wenzie shuleni, wakifika shule anababaika anashindwa kutaja basi akafukuzwa shule hata mtihani Wa mwisho hakufanya

Wakati hilo halijaisha biashara za Mzee zikaanza kuyumba vibaya vibaya na alikua na deni kubwa sana benki wakaja kuuza nyumba tunayokaa bado haikutosha
Nyumba tuliyohamia ikapigwa mnada pia
Mzee akapata stroke, tukaanza kuhangaika nae kila hospital,
Mtihani Wa mwisho ulipofika sikuweza kufanya kitu nilikua naangalia tu makaratasi maana tulitoka maisha ya juu ghafla tukaporomoka hadi chini ndani ya miezi 9-12
Mzee akawa amefariki tukaenda kuzika kijijini
Hakukua na chochote kilichobaki mjini si nyumba nini
Tumezika kama Leo wiki moja mbele Dada akajifungua mapacha Wa kiume kama sisi tulivyo mapacha

Baada ya ndugu kutawanyika na miezi minne kupita tukiwa bado kijijni maana tulipanga tuishi huko huko mjini hatukua na chochote mama aliniita akaniambia niende mjini nikaangalie matokeo yangu ndipo tunaweza kupanga tufanye nini
Matokeo yalikua mabaya

Usiku mmoja mama na babu wakaniita babu akaniambia chukua hawa ngombe ukauze wote utuachie watano tu
Hii ndio mali pekee Mzee wako alioacha, walikua ngombe 200
Nikapewa baba zangu wadogo tukaenda mnadani tukauza nikapata pesa nyingi mno

Nikaja dar kutafuta maisha na kiasi hicho cha pesa
Nikawa nanunua ngombe mkoani naleta dar hadi mtaji ukaongezeka mara tatu

Nikafungua biashara zingine na nikanunua kiwanja boko na nikajenga
Nikarudi kijijini nikamchukua Dada yangu na watoto hadi mkoani wakiwa na miaka mitano nikampangia nyumba na kumfungulia biashara lengo ni watoto waanze la kwanza hivyo walitakiwa maandalizi ya nursery
Mama tulimwacha kijijini alikataa kabisa kuja mjini
Siku moja tuliagiza pombe walau tusherehekee mafanikio maana hatukumini kama tungefika hapo
Baada ya kunywa sana nikaona nikalale akanifuata chumbani na kuanza romance nikamzuia nikamwambia hatupaswi kurudia kosa hili, tushukuru huenda ni mpango Wa mungu Mzee kufariki kabla hajajua mimi ndio nilikupa mimba
Na bado hatujui siku mama akijua itakuaje
Akaniambia yeye hataki mwanaume mwingine zadi yangu na kwamba ananipenda mimi tu
Nakuja kustuka hivi na boxer na vest ameshavitoa huku akiendelea na zoezi moyo wangu ulishakataa ila mwili ukawa dhaifu tukawa tumezini

Tangu hapo huwa anakuja dar tunafanya nashindwa kuresist ile pressure
Nikapata msichana mmoja dar alipokuja dar akatukuta nae kwangu alifanya fujo na kumpiga vibaya yule binti hadi majirani wakaniambia kumbe ulishaoa husemi, mi nashindwa kuwajibu
Nikapata demu mwingine Dada yangu alipokuja akakagua simu akaona SMS za mapenzi akampigia akamtukana sana akamwambia yule demu eti nimeoa na nna watoto wawili demu akakimbia kimoja

Nimepata Dada mmoja Wa benki tunapendana sana na tumepanga kuishi pamoja lakini kikwazo ni Dada yangu
Akigundua tu ni balaa
Sijui nimwambie huyu banker in advance kuhusu ili tatizo?

Marafiki naombeni ushauri
Maana mama mwenyewe anataka nioe nitulie

Dada anasema nisijidanganye kuoa ni kazi bure
Nikimwambia tafuta mtu wako na wewe uolewe hanielewi

Nifanye nini?
Naogopa laana
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sisi km watanzania usituletee habari zakijinga kuna habari nyingi zakuandika ikiwa km wewe nimwandishi mwenye kutaka kuelimisha jamii basi usinge kosa jambo lakuandika km utakua hunachakusema basi kaa kimya

    ReplyDelete
  2. Mimi toka nizaliwe 20's yrs ago sjawah skia kituko CHA KSHENZ kama hiki! hv ushauriwe kwa lipi ilhali ulichofanya timamu hazkuwepo!USHARIKOROGA LINYWE' N UPUUUZ UNAOTIA KINYAAAA HATA KUUCKIA! D

    ReplyDelete
  3. Daaah pole sana ila msipende sana kuangalia picha za ngono n mapepo sasa hapo mzee tengeneza mazingira wakubwa wa ukoo wajue

    ReplyDelete

Top Post Ad