Issue ya Faiza Ally Kunyang'anywa Mtoto na Mbunge Sugu Yatinga Bungeni..Mbunge Adai Faiza Ally Ameonewa Kwa Sugu Kutumia Siku Moja Mahakamani na Kushinda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MR II SUGU NA MTOTO WAKE
Imeendelea kuwa ishu ambayo kila mtu anaiongelea kwenye kona yake anachokiona sahihi, wapo wanaokosoa Mahakama kuamisha Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kupatiwa mtoto wake na Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenzake.

Wa kwanza kuwasha kipaza sauti alikuwa Mbunge Martha Mlata >>> “Tuna Mbunge mwenzetu amemnyanyasa mwanamke mwenzetu ametumia siku moja Mahakamani kumnyang’anya mtoto wa miaka miwili.. Mbunge huyu anajijua kwa sababu mwanamke huyo anaitwa Faiza.. Faiza arudishiwe mtoto wake”>>>

Ikaja time ya Mbunge David Kafulila >>> “Hii nchi ina mihimili mitatu, Bunge, Mahakama na Serikali… Tuheshimu maamuzi ya Mahakama”>>>

Waziri Saada Mkuya alikuwa wa mwisho kuongelea ishu hiyo hiyo >>> “Kama mama na mimi nilipoisikia ile taarifa nilipata uchungu, kila binadamu ana mapungufu yake lakini mtotto alelewe na mama yake”>>>
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mtoto mkubwa kabisa huyo mbona kunawtoto wanaachwa na baba zao wadogo kuzidi huyo na hamsemi . nyie fanyeni kazi zenu mlizotumwa na wananchi barabara , maji , na si maisha ya watu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kula 5 mdau,mtoto mkubwa na atapata malezi bora kwa baba.
      Hofu ya Faiza atakosa pesa anazopewa na Sugu kwa matunzo ya mwanae.
      Waheshiwa ongeleeni watoto mnaopishana nao huku mmefunga vioo vya magari yenu,Tuwasaidieje?

      Delete
  2. mbona hao wabunge hawazungumzii uvaaaji wa aibu wa huyo binti.wanaona ni sawakweli!! acha hilo liwe fundisho kwa wanawake wa aina hiyo.. ni aibu hasa kwa wewe mh. waziri hebu kemea kwanza hilo la mavazi kisha ndio uendelee na masuala ya mtoto. naamini mtoto atalelewa vizuri tu kwa bibi yake.jamani muogopeni mungu . huyo binti amekwaza wanaume wangapi kwa vivazi vyake hivyo!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio ujue maadili yao finyu, sitashangaa kama wanatembea na waume za watu huo bungeni.

      Delete
  3. Hivi huyo Mange Kimambi amechanganyiwa mtu yuko kwa obama lakini akili yake yote iko Tanzania hivi huyo Sugu angekuwa mtoto wake ndiyo amezaa na kichaa angefurahia hali hii ana mdomo sana ndiyo maana amekonda eti diet hivyo ni visingizio tu Marekani ishakushinda na hao wajinga wenzio wanaokusifia kila ujinga basi unaona sifa, faiza angenguwa mdogo wako amekaa uchi unge tetea ujinga hebu kwenda zako unakera sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sugu alimkataa aka mdate Shyrose ndio gubu lilipoanzia hapo ah ha ha ha hako ka Mange kanafikiri watu hawajui misiri yake mpaka picha za uchi alizopigwa na Albert mume wa mtu zipo pia maisha yake ya downlow huko US akijiuza, mwache aendelee kidomo asipo angalia hata huyo Bhokhe anaweza kunyang'anywa pia akicheza.

      Delete

Top Post Ad