HATIMAYE Mrembo Machachari wa Kenya Huddah Monroe Atulizwa Kwa Kuvishwa Pete ya Uchumba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huddah Monroe
MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.

Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.

“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.

Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa kutulia na kufanya maisha na mume wangu mtarajiwa,” alieleza Huddah.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamaa gani tena huyo aliyebugi

    ReplyDelete
  2. Wajinga ndio waliwao duh!!mtu kaingia kichwa kichwa kudadeki yaani hiyo second hand machine( mwanamke asiekuwa na mishipa ya aibu)mtu umvishe pete ya uchumba?Hapo ni hasara kwa kwenda mbele relationship haidumu huyo ni"hit&run mpaka anazeeka dizaini hii no man can handle her ameishapinda since long time hapo hakuna mke bali ni pure non stop stress

    ReplyDelete

Top Post Ad