google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Orijino Komedi Wanapo Kashifu Afya ya Lowassa, Wamesahau ya Mwenzao VENGU? | UDAKU SPECIAL

Orijino Komedi Wanapo Kashifu Afya ya Lowassa, Wamesahau ya Mwenzao VENGU?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Afya ni majaliwa ya Mungu,leo kundi la OK linasimama majukwaani kwenye kampeni za ccm hata kutoa post mitandaoni za kudhihaki afya ya Lowassa wamesahau yalimpata mwenzao Vengu? mwaka wa nne leo yuko kitandani.ikumbukwe huyu jamaa alikua ni bingwa wa kumuigiza Mrema na maradhi yake kwa bahati mbaya Mungu kampiga kofi leo hii yeye ndio yuko kitandani na Mrema huyoooo yuko mzima kabisa.

Tukumbuke tunayo yafanya Mungu anatuona.kuna Leo na kesho.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wengu nae kwani anagombea Uraisi,,,,wale ni comedian hata wakimtania afya ya lowasa sio ajabu tatizo mpo kishabiki kama timu za mpira,,,,,,,kila mtu ama uhuru wakufanya anachokitaka mradi asi vunje sharia ya nchi.

    ReplyDelete
  2. Afya ya Richmonduli ni ya kutisha ndio maana hata salaam yake sasa imekuwa CCM Oyeee!

    ReplyDelete

Top Post Ad