Nahreel Kasema ‘Nisieleweke Vibaya Kuhusu haya Niliyosema Kuhusu Mwanamuziki Diamond Platnumz’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nahreel ni msanii wa kundi la Navy Kenzo lakini pia ni Producer ambaye mikono yake imehusika kuzisuka hits nyingi tu ikiwemo za WEUSI, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, Shilole na hivi karibuni Nahreel ameingia kwenye headlines za Tanzania baada ya kusema hakupendezwa na maneno ya utambulisho wake kufutwa kwenye beat aliyoitengeneza ya wimbo wa ‘Nana‘ wa Diamond Platnumz ft. Mr Flavour

Nahreel anasema alikiweka hicho kibwagizo kikimtaja kwamba yeye ndio producer wa hiyo beat lakini wimbo ulipotoka hakukisikia sababu kiliondolewa, ikabidi aulize upande wa Diamond imekuaje…. kumsikia mwenyewe na alichoambiwa unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad