Nahreel wa Navy Kenzo Aboresha Studio yake ya The Industry na Kuwa ya Kisasa zaidi....Atangaza Bei za Kurekodi Kupanda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii na mtayarishaji wa muziki wa ‘The Industry’ Nahreel amepandisha gharama za kurekodi muziki kwenye studio yake kutokana na ukarabati mkubwa alioufanya.

Nahreel ambaye mwaka 2015 ametengeneza hits kama ‘Game’ ya Navy Kenzo, ‘Nana’ ya Diamond, ‘Don’t Bother’ ya Joh Makini na nyingine nyingi, amesema kuwa kutokana na ukarabati alioufanya katika studio yake, ameona aongeze bei ili kuendana na gharama alizotumia.

Ukarabati huu unaoendelea unafanyika kwa kiwango kikubwa sana, kuanzia mazingira hadi vifaa vya studio vimekuwa vya kisasa. Lengo ni kutengeneza ngoma kali na zenye ubora zaidi na kuhusu price za kurekodi track zimebadilika kidogo ila nisingependa kuweka wazi upande huo coz unaweza ukaletewa kazi kubwa na msanii au mtu yoyote ikawa hailingani na bei niliyoitaja,” amesema Nahreel.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sawa kaka,usipofanya hivyo utakula wapi?
    Eti mbona wasanii mmepunguza zile safari za nje sana?au tuamini mlikuwa mapunda kweli?Hahahahahahahaha!Magufuli kiboko yenu,wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaa,mnasikilizia kwanza.

    ReplyDelete
  2. Anonymous 11.26 umeona eeeh!takwimu kwa wasanii kwenda kupiga kazi za nje zimepungua ghafla,mlaaniwe na mtapukuchika mmojammoja kwa laana,mmepandikiza mateja wengi mitaani,shwain zenu.

    ReplyDelete

Top Post Ad