Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Ndoa yangu Hatarini, Napewa Unyumba kwa Kulazimisha

Wadau,

Nimeoa kama miaka mitatu iliopita tatizo nalotoka tubadilishane mawazo ni mwenza wangu mke kuanzia mwaka jana amekua akinipa unyumba kwa mbinde kweli.Naweza fukuzia wiki nzima nikawa napewa jibu nimechoka nimechoka, siku nikilazimisha anasema fanya basi, nibake sasa na mimi nakua nahamu nafanya bila ushirikiano wowote kama vile nafanya na maiti, lakini kutokana na ukame wakati mwingine namuacha chumbani na kwenda kufanya mastabesheni sebuleni.

Nimejaribu kila namna kujua tatizo nimeshindwa wakati mwingine shetani ananiingia nitafute mchepuko wa kukataa kiu yangu ila moyo mzito nampenda mke wangu lakini pia madhara ya kuchepuka mengi. Nimejitahidi kufwatilia kama kapata mtu mwingine hakuna ushahidi kwa hilo pengine anaridhishwa sijapata dalili hizo. Nimejitathimini kama nilimkosea hakuna hivyo nimeleta hapa mnisadie wadau kunusuru ndoa yangu.

Maana kunyimwa tendo la ndoa bila sababu maalumu napata wakati mgumu msaada kwa wakubwa humu.

Tatizo nini...tubadilishane uzoefu...

Salaam...wote inauma saana kutongoza wife ndani ya ndoa ili upate mzigo


 By Juma


Udaku Special Blog

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

7 Comments

 1. Oa mke mwengine, sasa watakuwa wanashindana kutoa unyumba. Hapo dawa yake ni mke mwenza. Juma dini si inaruhusu sasa Nini? Shida

  ReplyDelete
 2. ukiona hivyo ipo namna lete ukweliii kuoa mpaka uwe na uwezo sio dili dogo

  ReplyDelete
 3. sio kila anayeitwa kwa jina la juma anaruhusiwa na dini kuoa wake wawili.

  ReplyDelete
 4. Acha kwanza ukomeshwe.....utanyooka tu.......

  ReplyDelete
 5. aaaah,,,,,usilalamike! kama amekushinda mwache,,,,,

  ReplyDelete
  Replies
  1. Muombe ruksa uoe mke wa pili, utaona anavyokupaaaaaaaa

   Delete
 6. Pole sana ndugu yangu kwa tatizo hilo,tafuta watu wazima mkae chini mzungumze mlitambue tatizo ni nini ili mlitatue kabla ya kufikia hatua ya kuoa mke mwingine huwezi jua nini tatizo pengine unaweza ukawa wewe ndo mwenye tatizo au yeye kaeni na watu wazima mlitatue tatizo

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)